teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Wadau naomba kujua kama powerpoint ina uwezo wa kutengeneza tangazo linalotembea kutoka kulia kwenda kushoto kwa kutumia powerpoint, kama inawezekana naomba msaada wa maelekezo, natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app