Kissie
Member
- Dec 31, 2016
- 96
- 95
wakuu habarini, simu gani nzuri ambayo naweza kuipata kwa bajeti kati ya 300k-400k...asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Camon 11 Ni tecno toleo jipya!Maduka ya Tigo wanauza 390,000
maduka ya kawaida wanauza 330,000 hautajuta
Kioo inchi 6.2 Ram 3GB internal 32 sio mbaya kwa bajeti yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna samsung A series ,j series na hizi latest m20 au m10 kwa bei hiyo nadhani unapata
Kuna samsung A series ,j series na hizi latest m20 au m10 kwa bei hiyo nadhani unapata