Adolph
JF-Expert Member
- Sep 26, 2010
- 895
- 346
wakuu nianze na salam..Nina banda la mpira na nimekua nikitumia Tv za HISENSE LED 55'. kutokana na hali ya usalama inanilazimu kila siku nizihifadhi tv sehemu salama baada ya game. sasa nimepata changamoto,Hizi Hisense hata zikiguswa kidogo tu kwenye kioo hazifanyi kazi..yani kawino kadogo tu kakivujia pembeni baada ya siku mbili tv haifanyi kazi..sasa sijui LED zote zipo hivi au ni hizi Hisense..naomba ushauri wa Aina ya tv itakayoweza kuendana na aina hii ya misukosuko au ambayo hata ikiguswa kioo kidogo inapiga mzigo. nimeshawai kuona tv nyingine zinapiga mistari kibao ila zinapiga kazi hizi hata ukigusa kidogo tu kioo tena kwa nje kioo hakionekani kimevunjika ila wino unasambaa na baada ya muda haiwaki