Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Jinsi ya Kuuza Bidhaa Kupitia Value-Based Marketing Katika dunia ya sasa ya ushindani wa kibiashara, njia bora ya kuuza bidhaa si kwa kushinikiza watu kununua, bali kwa kuwapa thamani kwanza. Hii...
0 Reactions
1 Replies
454 Views
Habari wataalam!. Kama title inavyojieleza hapo juu, nimepata wazo la app ambayo itasaidia wafanyabiashara wa mkoa na dar ata nje ya TZ kwa ujumla kununua bidhaa kwenye soko la kariakoo bila...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Computer nyingi tunazonunua huwa zinatumia processor za intel au amd, lakini ni intel ambaye ametawala sana kushinda amd kwenye computer zetu. Leo nimeamua niandike uzi huu kuhusu hizi processor...
171 Reactions
3K Replies
265K Views
Katika ulimwengu wa leo wa kidigitali, njia za kutengeneza pesa zimepanuka sana — na mojawapo ya njia zinazokua kwa kasi zaidi ni kupitia Cryptocurrency. Kama umeona watu wakizungumza kuhusu...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
𝗠𝗧𝗔𝗡𝗗𝗔𝗢 𝗪𝗔 𝗬𝗔𝗦 (𝗧𝗜𝗚𝗢) 𝗨𝗡𝗔𝗦𝗨𝗠𝗕𝗨𝗔 Kampuni ya Yas ambayo zamani ilikua inaitwa TIGO Leo hii imepata changamoto toka mchana huduma mbalimbali zimekwama kwa watumiaji wake. Watumiaji wa mtandao wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nilikuwa sijawahi kufanya manunuzi ya kitu mtandaoni, kwa mara ya kwanza tarehe 5/08/2024 nilifanya manunuzi ya miwani ya macho katika mtandao wa eBay, hii ni baada ya miwani yangu kupasuka...
34 Reactions
134 Replies
10K Views
Wakuu msaada tafadhali, nimetupia kizungu kidogo hapo ila kusudi langu ni kuactivate incoming call barring kwenye simu yangu, password zake ndio zipi? Natanguliza shukrani.
3 Reactions
19 Replies
10K Views
Hili limekua tatizo kubwa sana kwa simu za kitochi 4G ukiitumia baada ya muda Fulani Kanaganda yaani ukiiwasha haiwaki inaishia hapo tu kwenye "karibu tigo". Je, unaweza kutumia mbinu gani...
9 Reactions
68 Replies
10K Views
Wataalam wa tech naomba elimu yenu kuhusu maeneo hayo Apps na Websites. Ukitaka kutengeneza apps unapaswa kupitia hatua zipi au kozi gani fupi? Hivyo hivyo kwa website unapaswa kupitia hatua...
1 Reactions
12 Replies
930 Views
Flutter ni moja ya Frameworks pendwa inayotumika kwa ajili ya kutengeneza cross platform applications. Kwa kutumia code base moja utaweza kutengeneza Apps kwa ajili ya Android, IOS, Mac OS...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Wasalaam wadau. Mimi sitangazi biashara ila wadau hii simu inakaa na chaji na ipo Faster mtandaoni. Ni simu gani nyingine ambayo unaiona ni nzuri mno tushee mawazo maana zamani nilikua najinunulia...
15 Reactions
78 Replies
4K Views
Jinsi ya Kujilinda Mtandaoni: Mwongozo wa Haraka kwa Watumiaji wa Kawaida Tunaishi kwenye dunia ya kidigitali ambapo karibu kila kitu kinafanyika mtandaoni—kuwasiliana, kufanya biashara, kutuma...
3 Reactions
3 Replies
547 Views
Habari ya jioni wakuu. Kuna software ya kutengeneza formula za vyakula vya mifugo niliinunua Thailand $475,hii software ili uitumie ni lazima uingize hardlock key kwenye USB port ya computer,bila...
1 Reactions
5 Replies
532 Views
Wadau nimejaribu kutafua AI nzuri kwaajili ya Voice Over ya Kiswahili nimekwama. Msaada kwa mwenye kujua ambayo ni nzuri anisaidie.
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Ndugu wana jamiii simu yangu ni ao5 Samsung ina nikera na haya matango kila app iko na matangazo nifanyajeee nikiweka DNS hii simu inakataaa internet kabisaa
3 Reactions
4 Replies
401 Views
Wakubwa nimecheki huko Mjini Facebook, kuna wakenya huko wanatamba na hizi Sound System za magari wanaweka majumbani mwao hii idea imekaaje, make sote tunajua mziki wa gari huwezi linganisha na...
2 Reactions
9 Replies
591 Views
🔒 JE, UNAJUA UNAWEZA KUONDOA TAARIFA ZAKO BINAFSI KWENYE GOOGLE NDANI YA DAKIKA 1 TU? Watu wengi hawajui kuwa Google inatoa njia ya kujilinda dhidi ya watu wanaotafuta jina lako, namba yako ya...
3 Reactions
3 Replies
553 Views
China ilizindua mtandao wake wa kwanza wa 10G katika Kaunti ya Sunan, Mkoa wa Hebei, Jumapili (Aprili 20), na hivyo kuashiria maendeleo makubwa katika miundombinu ya intaneti. Uzinduzi huu ni...
6 Reactions
7 Replies
778 Views
Google's crawler, when scanning a webpage for backlinks, identifies URLs within HTML anchor tags (<a> tags) that contain the href attribute. The structure of a backlink URL in HTML code typically...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom