Niaje wadau kwa hali ya sasa maendeleo ya tech ni makubw san kama una weza design blog au web kwa kutumia Ai ,do you think guys kaz za web designers zitakuwa hatarin?
Ni katika wakati ambao nilikuwa nawaza ni kwa namna gani nitaweza kukusanya michango ya ahadi kutoka kwa marafiki zangu walio mbali au nje ya nchi kwa njia rahisi kwa shughuli hiyo na ndipo...
Trump aliwapiga nyundo Huawei mwaka 2019, Hii ilipelekea makampuni kama google kuikataza Huawei kutumia huduma zao kama Playstore.
Huawei wakaachana na android wakaamua kutumia System yao inaitwa...
Nina friji iliyokua inaleta tatizo la kuongezeka sauti kadri inavyozidi kufanya kazi, ukiliwasha linaanza silence kama kawaida ila baada ya muda inaongeza sauti.
Ila uwezo wake wa kupoza ni...
AI Platform Evaluator: Requesty AI vs OpenRouter AI
Role:
Act as a senior AI infrastructure analyst with expertise in evaluating AI routing platforms, API management systems, and language model...
FANYA HIVI KUBADILISHA PICHA ZAKO KUWA KATUNI FASTER 🔥🔥
Je Unapenda pixha zako ziwe Katuni wa kipekee na kupendeza ?? Leo nakufundisha Tena jinsi ya kuunda picha zenye muundo wa Katuni kupitia...
Hi?
DAYS GONE ni game ambalo liliniteka kihisia na kiakili mpaka nikajihisi na mimi ni moja ya character wa mule ndani ya game mpaka siku ile namaliza mission ya mwisho najihisi kama naenda...
Msingi ule ule, lugha mpya,
Java ni mama, Kotlin ni mwana,
Ukikumbatia mabadiliko,
Kotlin utamkimbiza bila wasiwasi.
Kotlin is currently the best though people who don't want revolution in tech...
Kwenye maisha, tuna uhakika wa vitu vitatu. Kifo, Kodi kupanda na iPhone mpya kila September!
Wakali wa hizi mambo, leo uko Marekani watafanya uzinduzi mkubwa wa simu 4 za iPhone 16.
Simu...
Unatumia Laptop Dhaifu kwa Kazi Nzito?
Hii Ni “Unsanitary” kwa Biashara Yako — Na Hizi Ndizo laptop Salama Zaidi Mwaka Huu Na
Muonekano wa kisasa. Bei rahisi. Lakini ndani ni balaa.
Hivyo ndivyo...
Mzuka wana Jamvi..
Siku hizi Wasap kumezuka mtindo wa hata watu ambao hamfahamiai nao kukutag kwenye grupu kuview status zao na mara nyingine bila hata kupenda na kutarajia unakuta unaview sasa...
Tumekuwa tukisikia habari au taarifa nyingi sana kuhusu cryptocurrency na blockchain. Neno Bitcoin limekuwa likitawala kwenye vinywa vya wengi, hususan vijana na wafuatiliaji wa teknolojia, lakini...
Apps za Simu kwa Ajili ya Afya (Tanzania 2025).
Katika zama hizi za kidijitali, simu janja zimekuwa zaidi ya mawasiliano—zinasaidia hata kwenye afya zetu. Hizi hapa ni baadhi ya apps mpya au...
Coding Siyo kwa Wataalamu Tu—Ni Kwa Kila Mtu!
Katika dunia ya leo inayozidi kuwa ya kidijitali, kujua misingi ya coding ni muhimu kwa kila mtu, si kwa wataalamu tu! Coding ni funguo za mafanikio...
China imekuwa ni taifa la pili kumiliki gati linaloelea angani karibu na dunia.Nchi ya mwanzo ni Urusi ambayo ilijenga kituo hicho kinachoitwa international space station chenye umri zaidi ya...
Wakuu uvumbuzi mkubwa kwenye teknolojia umeanza kuleta shida.
Robot wa kwanza duniani kupewa uraia wa nchi, bidada Sophia raia wa Saudia amesema na yeye anataka kuwa na familia yake, kuwa na ajira...
Habari naombeni msaada wenye ujuzi na skrill akaunti yangu imezuiwa taarifa wanazozitaka kila nikituma narudishiwa email kuwa zimekataliwa sijafahamu nakosea nini mwenye uelewa zaidi anisaidie
Habarini wakuu,naomba nikiri mbele yenu tangu nijiunge na hii chatgbt ya what's up,imenifurahisha sana nakunipa raha rohoni kwa jinsi inavyojibu kwa umakini na ufasaha sijapata kuona!!,pia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.