Wakuu napataje Tshs 100k kwa mwezi. Kupitia skills hizi 2d drafting & CAD kwa kuchora michoro ya majengo, mitambo na frontend web development (html, css, JavaScript) kwa kutengeza tovuti za...
Sekta ya Akili Bandia (AI) inakabiliwa na mvutano mkubwa kati ya uwekezaji na ahadi za kiteknolojia ("hype") dhidi ya changamoto halisi za utekelezaji na maadili ("uhalisia"). Mfano mkuu wa hatari...
Salamu, katika pitapita zangu za hapa na pale mitandaoni nimetumia muda kidogo kulinganisha teknolojia hizo mbili hapo juu.
Na matokeo yake nikagundua 5G ipo juu zaidi ya starlink kwa karibu...
Hakuna aliyekua anabisha Htc alikua Kampuni Tishio kwenye matoleo ya simu miaka ya Nyuma hakuwa na mpinzani kabisa.
Lakini baada ya miaka kupita Htc alipoteza dira na kupotea kwenye Ramani, Je...
Habarini.
Sote tulishuhudia Mtaalamu kigogo alivyosumbua. Wakuu nimeona nije na swala hili kwamba huyu kigogo umahiri wake kiweza kukwepa mishale enzi na awamu Ile technically ikoje hii.?
Msaada...
Habari wanajukwaa
Nahitaji kununua laptop kwaajili ya mambo yafuatayo
Kufanya basic coding kwa kutumia HTML,PHP,Javascript,C#
Kutumia application za Adobe kama Lightroom,InDesign, na Photoshop...
Utapeli mitandaoni kupitia phishing link na jinsi unavyoweza kujilinda.
Siku hizi karibu kila kitu kiko mtandaoni kutoka kwa mitandao ya kijamii, benki, hadi mawasiliano ya kila siku. Lakini...
Habari zenu wadau
Natoa huduma za kudesign website kwa gharama ndogo tu ya tsh 200,000. Kwa mawasiliano zaidi njoo PM
Location nipo Dar-es-salaam na Kilimanjaro.
Kwenye attachment ni sample ya...
1. i phones ni gharama, Hapa sitazungumza sana, nachoomba tu nenda duka linalouza i phones mpya (sio mitumba / refurbished) kaulize bei, Inabidi uwe vizuri kiuchumi tofauti na huku android kuna...
Unachangamoto ya kompyuta kutumia bando la Intaneti sana? Suluhisho ni data saver, Bei 30,000 Tsh.
Programu ya data saver itakusaidia kuepusha Windows OS kujiupdati na kuzuia background usage la...
💭 Teknolojia ya akili bandia inazidi kurahisisha watu mambo kwa kufanya mambo magumu kuwa mepesi na kwa haraka ndani ya muda mfupi tu.
💭 Mfano kwa kuweza kuediti picha yako au kuunda kitu basi...
Just in
Android 15 ndani ya Google Pixel.
Kwa harakaharaka Google wameamua kuwa serious kwenye swala la security kwani wameleta private space inayokuwezesha kuweka data zako na ku run application...
Habar wakuuu,
Naomba kuuliza kwa watu wanaojua n vfaa gani hawa watu wanaotafsiri muvi hua wanavitumia ili kukamilisha kazi hiyo?
Nawasilisha.
Karibuni kwa maoni
Baada ya vita kubwa kati ya Trump na Elon Musk, kuhusiana na bajeti iliyopitishwa, huku Trump akiona itasaidia uchumi na Elon musk akiona inaongeza deni, sasa ndoto za wamarekani zinaenda kuzimwa...
Tanzania iko mbioni kutunga sheria na kuweka muongozo wa kutekeleza mfumo wa kitaifa wa mtandao wa simu, ujulikanao kama National Roaming.
Kupitia mfumo huu mpya, mtumiaji wa simu ataweza...
Ashalom Aleikum!
Naomba kama kuna yeyote humu anayetumia VPS (virtual private server) yenye data centre hapa Tanzania anijuze ipi ni more affordable kwa kuanzia (1 vCore, 2GB RAM na angalau 20GB...
Habar wakuu nataka kuhama kutoka kwenye Xiaomi kuja sumsung ,naombeni msaada wenu nitoleo jipi hasa matoleo mapya naweza pata Samsung yenye camera quality,betri kukaa na chaji mda mrefu,na iwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.