Kusoma blocked sms

Kusoma blocked sms

digodigo

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
315
Reaction score
256
Naombeni msaada wa kujua App gani inayoweza kunisaidia kusoma messages ambazo aidha namba niliblock kwa bahati mbaya.
 
Kama mtu huwezi kumuacha basi amua tu kuwa nae, sio unambock mtu huku unambip, mara ooh nimekosea namba.

Tatizo wengi mnapenda kuzifurahisha nafsi za wengine mkiziacha zenu zikitaabika.

Utakuta mtu anaogopa kufanya maamuzi kwa kuwaogopa watu wasimcheke.
 
Naombeni msaada wa kujua App gani inayoweza kunisaidia kusoma messages ambazo aidha namba niliblock kwa bahati mbaya.
Kwenye simu za windows ndio unaweza kublock namba na bado ukazisoma sms zake. Kwenye android hakuna .....
 
Kwani mchepuko hajui una mke hadi amind kujibiwa sms?
Kwa vyovyote vile huyo mtu anayetaka kujua aliandika nini alivyokuwa amemblock sio permanently blocked. Anablockiwa kwa vipindi flani. Jiulize sababu ni nini?
 
Back
Top Bottom