Internet-Money
JF-Expert Member
- Apr 20, 2021
- 625
- 1,334
Jamaa alikuwa anasubiri tamko la "pekeji" kwa hamu sana.Mwaka huu,Mei Mosi ya 2025 ilipaswa atafutwe na aoneshwe mubashar.
Hapo unambiwa bado kabisa, ndo mwanzoHii AI imepoteza ushahidi kabisa huwezi dhania kama ni bandia
AI
Ila hii ni rahisi Sana kutambuaHii AI imepoteza ushahidi kabisa huwezi dhania kama ni band
Kwa nn?Ila hii ni rahisi Sana kutambua
Rahisi kwakua umeona hiyo sketi ya nguva auIla hii ni rahisi Sana kutambua
Tena kweli kweliMh! tuendapo kunatisha
Mh! tuendapo kunatisha
Yale maki sio halisiKwa nn?
Hebu yaangalie Yale maji,sio halisi kbsaRahisi kwakua umeona hiyo sketi ya nguva au
Kuna camera ukipiga nazo picha maji yanatoka kama unavyoona hapoHebu yaangalie Yale maji,sio halisi kbsa
Mtumbwi ghani wa ivi eti uko kwenye maji na hauja lowa😅
Yale maki sio halisi
Kuna kitu kinaitwa prompt, hapo ndipo uumbaji unapotokeaMtumbwi ghani wa ivi eti uko kwenye maji na hauja lowa😅