Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Katika dunia ya sasa ya kidigitali, kuuza bidhaa si lazima uwe na duka la kupanga — simu yako na intaneti inatosha kabisa kuendesha biashara yenye mafanikio. Haijalishi unauza nini: iwe ni bidhaa...
2 Reactions
1 Replies
781 Views
The Nokia P1 Ultra 2025 5G is a smartphone that uses the Qualcomm Snapdragon 8 Gen 2 chipset. It also has 16 GB of RAM and a 7300 mAh battery.
17 Reactions
39 Replies
2K Views
Habari wakuu ,short and clear natumai ni wazima Msaada jamani mwenye uzoefu au aliyewahi kutumia samsung A42 5G vipi wakuu iko poa upande wa camera na ubora wake vipi kuna kipengele au...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Leo nakuletea prompt bora za kujaribu kwenye chat Gpt Utaweza kuzibadilisha picha zako kwenye Muonekano wa kipekee sana na kushangaza kupitia simu yako. Chat Gpt prompt!! Ni maneno ambayo...
2 Reactions
7 Replies
471 Views
Wadau, me shida yangu ni ndogo tu.. Naomba mnielekeze jinsi gani naweza kumtag mtu/member mwenAngu humu JF. Nawasilisha
4 Reactions
363 Replies
33K Views
Tarehe 16.7.2024. Nilliibiwa simu ktk eneo langu la kazi. nikaenda polisi kutoa Taarifa wakanipa RB baada ya hapo nikaambiwa ni subili mpelelezi, kufika kwa mpelelezi, ananiambia kutrack simu kuna...
18 Reactions
61 Replies
4K Views
Kutana na kijana anaitwa Md Shariar Shanaz Shuvon mwenye umri wa miaka 17 aliyejifundisha binafsi jinsi ya kufanya udukuzi kutoka Bangladesh india. 💭 Aliweza kugundua udhaifu mkubwa kwenye mfumo...
13 Reactions
36 Replies
2K Views
Habari zenu wakuuu, hope ni wazima wa afya !! Kama kichwa cha habari kinavyosema, nina Samsung Galaxy A71 ambayo nilinunua mwaka Jana Nilivyojiunga na Chuo Hapa Dar mwezi wa Kumi na moja ...
2 Reactions
60 Replies
9K Views
Kuna wale watu wanawekaga password kwenye simu zao halafu wanasahau kabisa wanajikuta wanataka ku format simu zao 😀 bila kupenda ?? Relax kuanzia Leo kama umesahau password kwenye simu Yako una...
1 Reactions
0 Replies
504 Views
Ni wakati sasa jamiiforums ibadilishe muonekano wa app na kuongenza features ili kuendana na wakati ilikujiweka nafasi nzuri ya ushindani Ili kuoata watumiaji wapya
2 Reactions
32 Replies
1K Views
wakuu kama kichwa cha habari kisemavyo hapa unapost kazi yako ya graphic tunacheki kama inamakosa tunakosoa unarekebisha unajikuta unawiva katika graphic design
3 Reactions
101 Replies
61K Views
UTAPELI WA “TUMA KWA NAMBA HII” UPO HATARINI ZAIDI KULIKO UNAVYOFIKIRI Na Goodluck Maleko J UTANGULIZI Katika zama hizi za kidijitali ambapo kila kitu kinatokea kwa njia ya simu, kumekuwa na...
2 Reactions
1 Replies
510 Views
Kama uliona simu ambazo ni foldable kama Samsung Galaxy Z fold, Galaxy Z flip na simu nyingine kama hizo ambazo ni foldable fahamu pia kuna laptop imetoka ambayo pia ni foldable ambayo ni Huawei...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuongezeka kwa Biashara Mtandaoni: Fursa kwa Wajasiriamali Vijana Katika dunia ya sasa, mitandao ya kijamii si mahali pa kupoteza muda tu—ni sehemu ya kujenga maisha bora. Vijana wengi wanaanza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu salamu! Kama heading ilivyo, naomba msaada kwa anayejua. Rafiki yangu aliweka pattern kama lock ya simu (aina ya Oppo F1s) siku chache zilizopita, sasa akaniletea ili niweze kumsaidia...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
NB: Ukichangia Toa Sababu Strong usiende na Upepeo lengo ni kujua kwanini tunatumia Simu zetu na kipi cha kujifunza ambacho hukijui Android ni Program endeshi(OS) inayotumika kwenye Brand nyingi...
10 Reactions
75 Replies
4K Views
Looking for a technical SEO expert with experience. Awe na uwezo wa kutatua matatizo yote yanayohusu site SEO ikiwemo Speed as per Google page speed.
2 Reactions
14 Replies
2K Views
HABARI ZENU NNATAKA KUTUMIA AI KUTENGENEZA VIDEO NAOMBA KUJUA IPI NZURI KATI YA GROK AI AU DEEPSEEK AU KM KUNA NYINGINE YOYOTE NZURI ZAIDI YA HZO NAOMBA KUJUA
3 Reactions
2 Replies
844 Views
Kama unatumia iphone au Android leo nakupa tricks 3 za kutoa picha kali kwenye simu yako. kutoa picha kali sio uchawi ni Settings tu unafanya na kuifanya simu yako iweze kutoa picha kali...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
USITUMIE SOFTWARE YA WIZI (CRACKED): Hizi Ndio Hatari 4 Kuu Unazojitafutia Mwenyewe Imeandikwa na MalekoGJ Katika dunia ya sasa ya kidigitali, wengi wetu tumewahi kushawishika kupakua software ya...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom