Yaani nimejaribu kupekuwa simu nyingi kwa kina nakuta inaonyesha. Simu hata iwe na ram kubwa vipi. Yaani tunapewa ℅ kama 30 tu. Nyingine inatumiwa na system. Hii imekaaje yaani app zinatumia 30℅...
Wakuu nimejitahidi kwa kila namna nimeshinda kupata hiki kitu, naomba mnisaidie mbali na kuangalia sms inbox njia gani naweza kutumia kupata tarehe halisi!
Nb: nimesahau password ya acc ambayo...
Nimenunua samsung galaxy s7 ila ussd inayosoma ni ya kuangalia salio la kawaida tu la *102#.
Zingine kama money transaction, menu ya vifurushi zote zinagoma. Naomba msaada nini nifanye au app...
Nimekuja kugundua hili huku nishachelewa aiseeh. Mana nilipata malalamiko kwa watu kama wawili kuwa software nilizowapa zimefutika hivyo niwafanyie mpango niwape tena. Sasa na mimi vitu vingi...
Habari njema sasa wale wote wanaotumia Iphone ambayo mfumo wake endeshi ni IOS kwa sasa wenye IOS kwanzia 8.0 wanaweza tumia whatsapp 2 ambazo ni
Whatsapp business
Official whatsapp
Official...
Wakuu habari!,
Baada ya tcra kutoa chanel za bure dstv, azam na zuku naomba tufahamishane nani anatumia dish za kawaida ambazo unafunga na kupata chanel free anijuze maana sitaki kuwa na lundo la...