KUDOLE CHA MWISHO
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 410
- 888
Kwana madhara yake kuka bila hyo os n nn kaka, coz imetokea leoPole sana
Kuna kitu ulifanya
Aidha ume instalk software ambayo si verified
Ikitokea hivyo una restart lakini kwa kawaida ikitokea namna hiyo ni component failure ambayo computer kutumia OS ime protect ili machine isipate hitilafu yaani demage
Piga uninstall hiyo software kama uliweka else jipange uweke OS mpya
Kwana madhara yake kuka bila hyo os n nn kaka, coz imetokea leo
Ikishafanya hivyo inawaka au inaishia hapo? naona kama huyo ni Threat script.Kuna hii kitu nimekuta kwenye pc yangu baada ya kurestart
Kwa msaada jamani nisadie wakuuIkisha fanya View attachment 1084169
Niljaribu kurestart ilaleta maandishi ya blue hapo juuIkishafanya hivyo inawaka au inaishia hapo? naona kama huyo ni Threat script.
Nimefanikiw Kaka asante sanaMkuu kwenye hio path appdata/roaming kunakaa mafile ya software za kawaida hakuna mahusiano yoyote na operating system wala ufanyaji kazi wa computer yako.
Unaweza kwenda manually mwenyewe hapo.
Kwanza iambie computer yako ionyeshe hidden files na folder
Kama unatumia windows za kisasa ukiwa kwenye file explorer click view tab kisha tick kwenye hidden kama picha inavyoonesha
then kunavigate hilo folder utaclik my computer ama this pc tegemea na windows, kisha utaenda user kisha Baraka kisha appdata kisha roaming halafu tafuta hilo file difycelkp kama halipo pengine limefutwa.
Na sababu hilo file linataka kujifungua punde unapowasha computer inamaana hio program yake ina startup permission ya kujifungua pindi computer ikiwashwa. Unaweza kutoa program za aina hii kwa kufungua task manager (right click task bar then task manager) halafu nenda startup programs. Kwa windows za zamani kama 7 nenda start kisha all programs kisha startup.
Hakikisha programs unazoziamini tu kama vile ant virus ndio zina ruhusa ya kujifungua pindi windows inawaka.