Kwa sasa Windows 10 hatufai watumiaji wa crack software.

Troublemaker

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
19,960
38,693
Nimekuja kugundua hili huku nishachelewa aiseeh. Mana nilipata malalamiko kwa watu kama wawili kuwa software nilizowapa zimefutika hivyo niwafanyie mpango niwape tena. Sasa na mimi vitu vingi kwenye pc yangu nilikuwa sijatumia kwa muda kutokana na kuwa busy kidogo.

Lakini kila nilipokuwa nikiwasha pc ikawa inaniletea kuwa kuna malware Windows defender imewagundua so inawaondoa. Nikawa napuuzia, nikawa najua tu huenda ni hizi software zangu. Kwa hiyo nikawa naiweka off real time protection, matokeo yake kila nikiwasha tena pc windows defender inajiweka on tena huku inarudia kuniletea ule ule ujumbe kama kawa nikawa naizima tu tena. Leo nakuja kushtuka baadhi ya shortcut kwenye windows hazionekani. Si ndio ikabidi kuchunguza nakuta zote zimeshaliwa.

Ndio nikakumbuka kuwa kuna uzi humu uliwahi kuongelea kuhusu Update ya windows 10 hivi karibuni itaanza kuondoa software zote ambazo publisher hawajulikani.

Daaah, hapa nalazimika kurudi tena windows 7 tu. But nishatiwa hasara ya kudownload tena file upya.

Cc Chief-Mkwawa imekaaje hii ndugu?

troublemaker 2019. all right reserved
 
Ni kweli yaani kama una program zako ni bora uweke kwenye hard disk than ukichomeka hard disk kwenye windows10 hakikisha windows defenderunamzuwia asifanye kazi. Unakopi program than unatoa diskyako kwenye pc. Unafanya installation mpaka unamaliza na some time defender umemzuwia unaweza kuta anahitaji ruhusa kufanya mambo yake. Windows 10 inazingua sana kwa watumiaji wa crack za kuiba
 
1553801046945.png
nashusha hii
Windows 7 ROG RAMPAGE 64 bit ISO
sitaki ujinga mimi kitu changu kinipagie masharti
 
Guys kuna siku nilikuwa nacompress setup fulani kwa kutumia Winrar kwenye external hard drive yangu, ghafla nikaletewa ujumbe usemao "The operation failed due to external hard drive failure"

Sasa athari yake ni kwamba nikiangalia movies kwa kutumia hiyo external inastuck, nikifanya file transferring speed inakuwa chini sana hadi 0KB/second ikipanda sana 1Mb/sec, naombeni ushauri juu ya hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu crack.mim natumia vizuri

Hapo fanya mawili

Moja disable windows defender kabisa isifanye kazi

Au add exclusion hizo file ambazo hutak defender iziguse

Simple lyk that.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Hapo atumie tu kanuni ya kuadd exclusion file ili kuiendeleza protection ya pc kupitia windows defender.
 
Guys kuna siku nilikuwa nacompress setup fulani kwa kutumia Winrar kwenye external hard drive yangu, ghafla nikaletewa ujumbe usemao "The operation failed due to external hard drive failure"

Sasa athari yake ni kwamba nikiangalia movies kwa kutumia hiyo external inastuck, nikifanya file transferring speed inakuwa chini sana hadi 0KB/second ikipanda sana 1Mb/sec, naombeni ushauri juu ya hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonesha external hard disc yako inashida either imekuwa malicious infected ama shida ya ndani kwa ndani (mechanical).
You can correct me if I'm wrong.
 
View attachment 1056515nashusha hii
Windows 7 ROG RAMPAGE 64 bit ISO
sitaki ujinga mimi kitu changu kinipa.mmqgie masharti
daaaah,

Sema kuna linux distro inaitwa parrot. Iko frxh kinyama na ina support kubwa. Kutumia OS ambazo hazina support ni dangerous sana unless uwe unatumia pc yako kwa vitu unofficial, otherwise utakua vulnerable kwa attacks nyng. Pia hzo cracked softwares sio za kuzoea sana coz nyng huja na payloads na mwisho wa siku unajikuta pc yako ipo kwenye botnet ya majaa fln. So take care before you install any cracked program. Windows 10 inafanya hvo coz wanakulinda ww
 
Back
Top Bottom