MSAADA WANAJAMVI.

Msimamoo

Senior Member
Nov 30, 2016
118
195
Ninaomba msaa wa kitaalam juu ya sim yangu inayoniambia "Google play store isn't responding"

Natanguliza shukrani zenu.
 
Re start tuu.sio google play tu itakuambia hata wasap, insta fb nk.punguza na mavitu mengi kwenye simu kuwe na space kubwa
 
Nisaidie na mimi mkuu yangu nikifungua tu akaunti ya play store inaanza kuganda ganda wakati wa kutumia ila niki ifomart inakua nyepesi kosa tu nifungue akaunti ya play store ndio inaanza kuganda mpaka inazima mkuu hapa tatizo nini
 
Simu ni model gani na kampuni gani mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom