Msaada nimesahau pattern ya simu yangu

Tecno lite w5
Eheee hapo sawa Fanya hivi alafu hakikisha sim iwe INA chaji angalau 30%

Chakufanya Fanya hivi zima simu yako alafu bofya batani ya kuongezea sauti na ya kuwashia zibonyeze kwa pamoja afu kwa umakini baada ya hapo italeta maneno flani we utapeleka palipo andikwa Mclear utabonyeza OK kwa kutumia batani za power on afu baada ya hapo uta peteka palipo andikwa reboot hapo utaona sim itazima afu itawaka ila kiwaka inaweza chukua dakika kama kumi hivi baada ya hapo tafuta simu nyingine kando na hiyo uconnect Wife alafu ufungue akaunti ya gmail mpaka hapo itakua tiyari

Ukishindwa nitumie nambaako ya whatsapp nikuelekeze kiurahisi sawa
 
Huyo ni mwizi pengine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom