Wataatamu amplifier

Wataatamu amplifier

zakayoyoung

Senior Member
Joined
Apr 9, 2019
Posts
140
Reaction score
39
Wakuu nisaidieni nimeunda amplifier inetoa sauti vizuri lakini nataka niifanye iwe ya bass nisaidieni
IMG_20190424_164043.jpeg
IMG_20190424_164004.jpeg
IMG_20190424_163910.jpeg
IMG_20190424_163951.jpeg
IMG_20190424_163844.jpeg
 
Yaani ni hivii wewe hii kama unaielewa nielekeze mkuu
 
Mwanzo mzuri sasa ili kuiweka kwenye usmart ungetafuta hata praud au siling board ukalicholea njia zako uktoboa then ungekuwa umetengeneza kama board flani nzuri. Na atleast ungeonekana mwanzo mzuri.

Nb: mimi si mtaalamu wa hizo mambo but huwa napenda.
Wakuu nisaidieni nimeunda amplifier inetoa sauti vizuri lakini nataka niifanye iwe ya bass nisaidieniView attachment 1079943View attachment 1079944View attachment 1079945View attachment 1079946View attachment 1079947
 
Mwanzo mzuri sasa ili kuiweka kwenye usmart ungetafuta hata praud au siling board ukalicholea njia zako uktoboa then ungekuwa umetengeneza kama board flani nzuri. Na atleast ungeonekana mwanzo mzuri.

Nb: mimi si mtaalamu wa hizo mambo but huwa napenda.
Aaa poa nimekuelewa
 
Back
Top Bottom