Samsung galaxy S7 inabagua USSD.

iokote

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
601
875
Nimenunua samsung galaxy s7 ila ussd inayosoma ni ya kuangalia salio la kawaida tu la *102#.

Zingine kama money transaction, menu ya vifurushi zote zinagoma. Naomba msaada nini nifanye au app gani nitumie kuweza kutatua hili tatizo.

Cc Chief-Mkwawa, troublemaker etal.
 
Download app za mtandao hisika kama tigo au m pesa hiyo version yake sio world ni specific na baadhi ya mitandao ya nchi
 
Download app za mtandao hisika kama tigo au m pesa hiyo version yake sio world ni specific na baadhi ya mitandao ya nchi
App nime download ila pia nikitaka kununua vifurushi nayo ni changamoto mkuu. Ndio maana yamenishinda na kuja humu.
 
App nime download ila pia nikitaka kununua vifurushi nayo ni changamoto mkuu. Ndio maana yamenishinda na kuja humu.
Hizo simu zinakuwa zimetengenezwa kwa mitandao ya ulaya au amerika zinakuwa na tabu kidogo mara zingine hazisomi internet ila subili ma it
 
Hiyo ni korean version,kuna uzi umu umetoa onyo kwa hizo simu.

Hakuna namna hapo,utumie app za mpesa na tgo pesa,

Hata custom rom sio uhakika tena
 
Hiyo ni korean version,kuna uzi umu umetoa onyo kwa hizo simu.

Hakuna namna hapo,utumie app za mpesa na tgo pesa,

Hata custom rom sio uhakika tena
Ni US version mzee, vp niki root au ku flash nayo haitaweza saidia mkuu.
 
unaweza weka custom rom maisha yakaenda vizuri 2 au kuna hizi note 5 za korea ambazo model zake zinaishia K/L/S huwa ukirudishia stock rom yake... ussd inafanya kazi vzr 2
 
Model no mkuu ni ipi?

e1aa661e-3d2f-4b21-8609-0de9ac6fdd28.jpg

Hiyo mkuu
 
unaweza weka custom rom maisha yakaenda vizuri 2 au kuna hizi note 5 za korea ambazo model zake zinaishia K/L/S huwa ukirudishia stock rom yake... ussd inafanya kazi vzr 2

Mkuu nashkuru sana, ila hapo ebu nipe elimu kidogo stock rom yake inarejeshwa vp na custom rom ni kama ipi.
 
Back
Top Bottom