Sifa za windows phone:
- Uniqueness: hapo unaweza kujikuta katika watu 50 ni wewe peke yako ndio mwenye windows phone.
- GOOD RAM management: ukilinganisha na Android , simu ya windows yenye RAM 1GB ina perform smoothly kuliko simu ya nadroid yenye 1Gb RAM na processor speed inayofanana.
- Live Tiles na Theme color: Hapo utafurahia tiles zinazobadilika badilika zenyewe kwenye home screen ya simu zikiwemo habari (News), Gallery photos, Contact images etc, kwa wakati wote unapokuwa kwenye home screen.
- Ku stack(Freeze) si rahisi: simu ya windows ni ngumu sana kukuta inastack.
-Cortana: huyu assistant yuko vizuri sana kuliko ile ya google, anakaribiana na yule wa iPhone.
Hasara za windows Phone;
- Apps ni chache sana kwenye store
-free apps ni chache
-Windows phone 8.1 support ilishapita, hivyo ni lazima u update to windows 10 ambayo inahitaji resources zaidi ikiwemo RAM, Processor nzuri, na battery nzuri kuliko win 8.1/8.1 update. kinyume na hapo simu itakuwa nzito.
- Windows phone Support will end soon, december, na Microsoft ameshauri watumiaji wa hizo simu wahamie kwenye simu zenye support zaidi kama vile android na iphone
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.