Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

wakuu habari zenu naomba msaada kuhusu contact kwenye simu yangu ya itei smart phone yaani inatatizo la kupotea na inachelewa kurudi mfano nikitaka kumtumia mtu sms au kupiga nikiingia kwenye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ulefone, Umidigi, Teeno, Doogee, Duoduo go, Sugar , ... Ni aina za smartphone naziona sana aliexpress na bei yake ni cheap sana kulinganisha na specifications zake KWA WANAOZITUMIA VIPI KUHUSU UBORA?
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Nataka nichukue mojawapo Bei ni sawa i. e 650K kabla ya kodi
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu habari. Kuna email yangu ya Gmail nilikuwa naitumia zamani lakin niliisign in kwa sim tu na simu ile ikapotea na namba sikuirenew Email hiyo sijaitumia kwa takribani miaka 6 lakin hivi...
0 Reactions
3 Replies
754 Views
Nina mac book pro 2018 retina touch bar wakati naifungua asubuhi nili push screen na kidole ikunjuke hapo apo ikaweka carck na kuzima display crack inaonekana nikiwasha kompyuta nikizima...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wajuvi wa technology, TV yangu Sony flat screen imezima siku yapili sasa tatizo ninini. Muwe na siku njema
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Natafuta simu nzuri kwa offer ya 100k only kama unayo lete picture
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kila nikiangia freebasic jf naambiwa data charge my apply tatizo ni nini? Msaada wakuu
0 Reactions
21 Replies
3K Views
kuna dell hapa ili corrupt window siku ya jan leo nimeshusha ila ilivizima kwa ajili ya kujirestart mara ya kwanza inawakia huku tatizo nini na naweza tatuaje
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Natumia simu aina ya INFINIX kwa muda wa miezi 4 sasa lakini ni juzi tu namba zinazo tumika kwenye app ya WhatsApp hazina majina ingawa kwenye Contacts majina na namba zao zipo. Nini solution ya...
0 Reactions
2 Replies
10K Views
Wapendwa nisaidieni nimeibiwa simu ambayo mpaka sasa iko hewani mtu anapokea na haongei na akiongea ananizungusha tu,je kuna jins navoweza track kwa kutumia iyo namba ya simu ?maana emai namba...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimekua na jambo linalonisumbua sana kuhusu hii technology yakua Mimi natumia simu yangu kwa mawasiliano alafu mwingine cjui anatumia App gani anapata kujua kila ninachowasiliana ivo Mimi kua Mic...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Hi Guys, Niniweza kupata fundi Mzuri wa laptop as in hizi electronics mara nyingi ukipeleka kwa mafundi kanjanja ndio unakua mwisho wake. Baadhi ya burtons kwenye laptop hazifanyi kazi na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Samsung ana simu nzuri sana ila zinaongoza kwa kuvunjika vioo, shida ni nini ukilinganisha na simu nyingine kama tecno, huawei? Je zipi ni hatua za kuchukua kuhakikisha kioo kinakuwa salama hata...
8 Reactions
108 Replies
24K Views
Nina Simu yangu nimefactory data reset inaniandiakia majibu haya CLICK ON THE IMAGE TO CONFIGURE YOUR INTERNET CONNECTION OR TO INSTALL APPLICATION YOU MUST HAVE AN INTERNET CONNECTION AND...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
habari najaribu ku share kile nilicho kikuta chimbo chimbo kwa wale wana blog kama mimi ili tuweze fika hata malengo kama wenzetu wanao piga pesa kama dollar mia kwa siku na kuendelea. MUHIMU...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
I'm suprised na hiki nilichokiona kwenye mitandao mbali mbali. Itakumbukwa mwaka jana Q2 mpaka Q3 Huawei alitikisa sana soko la smartphones hasa kutokana na kurelease brand zake za huawei p20...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
salaam wakuu mimi ni graphic designer nnayehitaji kuongeza ujuzi wangu kwa kujifunza motion graphics naomba mtu anayefahamu chuo gani naweza kusoma course ya muda mfupi tafadhali nisaidie...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom