Umewahi kujaribu hii kwenye CHATGPT ni balaa

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,366
Reaction score
2,796
1_20250520_151934_0000.png
๐Ÿ’ญ Teknolojia ya akili bandia inazidi kurahisisha watu mambo kwa kufanya mambo magumu kuwa mepesi na kwa haraka ndani ya muda mfupi tu.

๐Ÿ’ญ Mfano kwa kuweza kuediti picha yako au kuunda kitu basi Teknolojia hii imekua msaada mkubwa kwa watu mbalimbali, kupitia ChatGpt image tools leo nakupa maujanja haya kwenye simu yako kuweza kujifunza jambo.

2_20250520_151934_0001.png

๐Ÿ’ญ Lakini subiri hivi unajua maana ya prompt ?? Okay kwa ufupi tu ni ujumbe ambao unauandika kutoa maelekezo ya kitu gani unahitaji kufanyiwa inawezekana kwenye Picha, video, au ujumbe wowote ila unachokiandika ndipo kinachokupa matokeo yake.

๐Ÿ’ก Leo nakuletea prompt nzuri ukijaribu kuandika hivi basi picha yako itatokea kama hizo unazozitazama kwenye slide sogeza kuangalia Tafadhari.

1. Cyberpunk style
2. Anime style
3. Dreamwork style

3_20250520_151934_0002.png

4_20250520_151935_0003.png

4. Watercolor style
5. Claymation style

5_20250520_151935_0004.png

7_20250520_151935_0006.png

6. Fantasy storybook style
7. Aesthetic style

8_20250520_151935_0007.png

9_20250520_151935_0008.png

8. Lego style

11_20250520_151935_0010.png
10_20250520_151935_0009.png
12_20250520_151935_0011.png

Fanya hivi fungua ChatGpt kisha andika hivi mfano change into cyberpunk style utaona matokeo yake hakikisha una upload picha yako
 
๐Ÿ’ญ Teknolojia ya akili bandia inazidi kurahisisha watu mambo kwa kufanya mambo magumu kuwa mepesi na kwa haraka ndani ya muda mfupi tu.

๐Ÿ’ญ Mfano kwa kuweza kuediti picha yako au kuunda kitu basi Teknolojia hii imekua msaada mkubwa kwa watu mbalimbali, kupitia ChatGpt image tools leo nakupa maujanja haya kwenye simu yako kuweza kujifunza jambo.

๐Ÿ’ญ Lakini subiri hivi unajua maana ya prompt ?? Okay kwa ufupi tu ni ujumbe ambao unauandika kutoa maelekezo ya kitu gani unahitaji kufanyiwa inawezekana kwenye Picha, video, au ujumbe wowote ila unachokiandika ndipo kinachokupa matokeo yake.

๐Ÿ’ก Leo nakuletea prompt nzuri ukijaribu kuandika hivi basi picha yako itatokea kama hizo unazozitazama kwenye slide sogeza kuangalia Tafadhari.

1. Cyberpunk style
2. Anime style
3. Dreamwork style

4. Watercolor style
5. Claymation style

6. Fantasy storybook style
7. Aesthetic style

8. Lego style

Fanya hivi fungua ChatGpt kisha andika hivi mfano change into cyberpunk style utaona matokeo yake hakikisha una upload picha yako
Aseh ni noma
 
Binafsi nahitaji program ya kuanimate picha na kuiwekea audio iongee. Au kibonzo cha chaguo langu kisha niweke sauti
 
Back
Top Bottom