Msaada jinsi ya kutumia simu kama remote control

Olsea

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
452
249
Habari zenu wadau,naombeni msaada kwa mwenye uelewa..natumia Simu ya Xiaomi Redmi note 3 pro ina IR blaster kwa ajili ya ku control vitu kama Tv,AC,fan n.k tatizo nlilonalo ni kuwa kwenye application yake yaani MI remote nimekuta brand nying za Tv na Vigamuzi ila nmeambulia kupata ya Tv tu tunayotumia ambayo ni brand ya Philips.Kuhusu king'amuzi nmekosa brand ya Star times so nme download third party application ambayo ni Zaza remote humo nimeambulia brand ya Dstv,nlikuwa naomba msaada kwa anayejua application ambayo ndani yake naweza pata brand ya Star times ili nitumie kwenye king'amuzi maana sina Dstv,au kama kuna anayejua jinsi ya kutumia hii Zaza remote kwenye Start times naomba anielekeze.. asanten sana.
 
mkuu startimes sidhani kama zile decoder wanazitengeneza wenyewe, hivyo step ya kwanza hapo ni kujua mtengenezaji wa hio decoder halafu ujaribu kutafuta brand yake ya remote. cheki nyuma ya decoder au kwenye box kama utapata clue yoyote
 
Thanks kaka..nikirud home nitajaribu kuchek
 
Back
Top Bottom