Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Bila shaka umewahi kukutana sana na stori za watu kupandikizwa kifaa fulani cha mawasiliano mwilini, kisha kifaa hicho kikawa na uwezo wa kuwasiliana na kompyuta, kwa lugha nyepesi mhusika akawa...
4 Reactions
27 Replies
5K Views
Wasalaaam Wakuu nimechukua fomu ya kujiunga na chuo cha veta kwa mwaka 2020 lengo langu nisome kozi ya HEAVY DUTY EQUIPMENT MECHANICS lakini nilipo kuja kuangalia form course hiyo haipo kwenye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu Naomba niwasilishe kwenu tatizo ambalo limekuwa likikwamisha shughuli za uchapaji wa kazi mbalimbali, tatizo hili linatokana na printer yangu kushindwa kufanya kazi ukitaka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH JINSI YA KIANDIKA KINYUME NYUME & JUU CHINI, BILA KUTUMIA APPLICATION YOYOTE H∀┴∩∀ Z∀ ʞ∩ℲF∩∀┴∀˙ -Ingia Kwenye Browser Yoyote -Andika...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Wadau kuna jamaa mmoja alinitonya kuna kampuni flan imeamua kutengeneza battery tofauti tofauti za haya masimu yetu brand ambazo zinakula sana chaji. Hiyo battery inakaa na chaji siku 1 hadi 2...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Hello habari wanajukwaa. Natumaini ni wazima wa afya njema.Bila kupoteza mda naomba niende kwenye mada. Ninauhitaji mkubwa wa kujua matumizi /kujifunza kwa kina jinsi ya kutumia Google map kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajf, mimi in mpenz sana was filamu za kihindi classics yaani nikimaanisha miaka ya kuanzia 50s to 90's. Nimekuwa nikitafuta sites zake lakini sizipati, YouTube huwa zimo tele lakini km...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu habari. Nina shida ya kutaka kujifunza ufundi wa simu hususani Smartphone kwa upande wa Software problems. Shida ni kwamba sina uelewa kuhusu mambo yahusuyo masuala haya. Hivyo basi naomba...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimepita madukani natafuta simu aina ya TECNO POUVOIR 2 PRO, nikakutana na brand 2 za simu hiyo hiyo. Naomba kujua kwa wataalamu mnaozijuq ni ipi kati ya hizi mbili ni ORIGINAL ili nisipigwe. Zote...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Galaxy s7 edge ina onesha vivuli kwenye kioo. Bado sija jua kama hili tatizo ni issue ya software au hardware. Nimepitia google na youtube, sijapata suluhisho la hili tatizo. Kuna mda vivuli vina...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomben msaada jaman Wa iyo app ya kutengeneza beat
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf, naombeni link nitakayoweza kudownload lucky patcher version 5.9.3. Shukrani
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu wa jf habarin za mida,wakuu mwenye kujua jinsi ya kuroot infinix hot 6pro anisaidie nimejaribu baada ya kufata mlolongo wote lakini haikubali nafeli wapi? Wajuzi mnielekeze [emoji120]
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nafikiri A series ni nzuri zaid
1 Reactions
50 Replies
11K Views
Simu yangu ya Iphone6 leo ni siku ya tatu sasa nikipiga simu au nikipigiwa simsikii mtu anayenipigia au ninayempigia ila yeye ananisikia vizuri. Kinachonishangaza nikirudia tena kumpigia au...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sorry jaman! Kwa anaefaham kuhusu jns ya kuendesha app za simu na faida zake kiuchumi. Tupeane elimu kidogo.
1 Reactions
0 Replies
477 Views
Straight to the point, tab yangu inaonesha ina run outta space, ukicheck hapa apps ndio zimechukua nafas kubwa na sina apps za kutisha. What should I do??
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari ya jioni wakuu,kuna smart TV inakama wiki inasumbua kuwaka kwa njia ya umeme wakawaida,ilianza ukiiwasha inatokea logo ila rangi ya screen inafifia kama vile umeme ni mdogo kisha baada ya...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
https://community.joomla.org/translations/joomla-3-translations/swahili-translation.html
0 Reactions
1 Replies
956 Views
[emoji95]*Mwnye uwelew wazee na PES 3 Vtu gan vya kuzngatia natka nnuue .*
0 Reactions
0 Replies
561 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…