MSAADA: NAHITAJI KUJIFUNZA

MSAADA: NAHITAJI KUJIFUNZA

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,602
Reaction score
14,392
Wakuu habari.

Nina shida ya kutaka kujifunza ufundi wa simu hususani Smartphone kwa upande wa Software problems.

Shida ni kwamba sina uelewa kuhusu mambo yahusuyo masuala haya. Hivyo basi naomba mwenye kufaham lolote anijuze kuwa nianzie wapi ili kufanikisha azma yangu hii?

NB: Nahitaji kujifunza kwa njia ya mtandao.
 
Search xda forums na GSM forums utapata mwanga kule
 
Wakuu habari.

Nina shida ya kutaka kujifunza ufundi wa simu hususani Smartphone kwa upande wa Software problems.

Shida ni kwamba sina uelewa kuhusu mambo yahusuyo masuala haya. Hivyo basi naomba mwenye kufaham lolote anijuze kuwa nianzie wapi ili kufanikisha azma yangu hii?

NB: Nahitaji kujifunza kwa njia ya mtandao.
Kwakuwa Umesema Unaitaji kujifunza Kwa Njia Ya Mtandao..
Jaribu Kupitia Hapa (https://www.smartphonetrainingcourses.com)
 
Wakuu habari.

Nina shida ya kutaka kujifunza ufundi wa simu hususani Smartphone kwa upande wa Software problems.

Shida ni kwamba sina uelewa kuhusu mambo yahusuyo masuala haya. Hivyo basi naomba mwenye kufaham lolote anijuze kuwa nianzie wapi ili kufanikisha azma yangu hii?

NB: Nahitaji kujifunza kwa njia ya mtandao.
Anza na haya mambo
1. Mambo ya kuzingatia unapojifunza ufundi simu
2. Ingia kwenye hii website https://mundebatech.blogspot.com uweze kujifunza baada ya kupata mwanga kutoka namba mmoja. Ukishaingia kwenye hiyo website anza na vitu hivi
A. Jinsi ya kujua CPU
B. Boot key
C. Driver signature enforcement
D. Kuinstall MTK USB VCOM driver
 
Back
Top Bottom