Msaada wa haraka...

Msaada wa haraka...

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Straight to the point, tab yangu inaonesha ina run outta space, ukicheck hapa apps ndio zimechukua nafas kubwa na sina apps za kutisha. What should I do??
Screenshot_20190819-095759.jpeg
Screenshot_20190819-095832.jpeg
Screenshot_20190819-095954.jpeg
Screenshot_20190819-100001.jpeg
Screenshot_20190819-100010.jpeg
Screenshot_20190819-100010.jpeg
Screenshot_20190819-100018.jpeg
Screenshot_20190819-100025.jpeg
Screenshot_20190819-100035.jpeg
 
Fungua
Uc browser clear data and catche
WhatsApp clear data and catch
YouTube clear data and catch


Kiufupi hiyo tab umeijaza application nyingi mno kuzidi uwezo wake
 
App kama Facebook na Whatsapp huwa wana download contect na kustore kwenye file zao ambayo sim ina detect kama storage consumed by the application

CLEAR DATA NA CACHE YA FB then ulogin upya
na clear cache ya whatsapp na ujaribu kupunguza vitu kupitia file manager

unavitu vingi inayotumia pictures an video alaf space occupied ipo chache
mm binafsi nadhani inaweza kuwa ni fb na whatsapp
 
Kama WhatsApp unatumia Sana ingia file manager then folder la WhatsApp then media, kote kwenye WhatsApp pictures na video utaona folder la sent, wanahifadhi vitu ulivyotuma pia, ukivifuta unaweza pata storage ya maana.
 
Wakuu nashukuru kwa ushauri wenu umenisaidia. Ni!eclear cache za apps mbalimbali nimegain space. Maajabu ni kwamba nimekuta chrome app data ni 4.7GB wakati siitumii mara kwa mara, mara nyingi natumia uc browser
 
Back
Top Bottom