mkhande95
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 308
- 180
Wanajf, mimi in mpenz sana was filamu za kihindi classics yaani nikimaanisha miaka ya kuanzia 50s to 90's. Nimekuwa nikitafuta sites zake lakini sizipati, YouTube huwa zimo tele lakini km mnavyojua filamu zake nyingi zinakuwaga wamezikata yaani sio full length yake. Naombeni km kuna mnaojua sites mnisaidie.