Battery za Samsung na Iphone zinazokaa chaji kuliko OG

KingKacha

Senior Member
Jun 15, 2016
118
119
Wadau kuna jamaa mmoja alinitonya kuna kampuni flan imeamua kutengeneza battery tofauti tofauti za haya masimu yetu brand ambazo zinakula sana chaji.

Hiyo battery inakaa na chaji siku 1 hadi 2 ikiwa na data on.
Je ushakutana nazo? Zinaitwaje? Zinapatikana wapi? Na bei je? (Nijuze kama unazimanya kwa Moro,Iringa,Mbeya na Dar)
Mfano zipo za Samsung Note zipo za Iphone n.k
Bei yake mtaniambia..........

Feki zake pia zipo ila fundi ni anajuaa blaa. Sisi tukipata tunampelekea.

Naomba mwenye vidokezo atujuze.
 
Kwa samsung kuna betry zile nene,unauziwa na backcover lake kabisa mara ya mwisho niliiona ya s5 kuna mtu aliinunua online kwa dollar 20 na ushee,ila kwa iphones sijawahi iona.
 
Ok cha kufanya nunueni battery flan za kawaida tu zinaitwa excellent. zipo za iphone na samsung na makampuni mengine. bei yake kawaida buku 15, 20 inategemea na muonekano wako tu happ dukani na mazoea yako ya kulipa .

zipo poa na zinafaa tu. unaenjoy kama wanavyoenjoy wengine. zina bar code ya kuverify kama nibyenyewe au lah...
 
Kwa samsung kuna betry zile nene,unauziwa na backcover lake kabisa mara ya mwisho niliiona ya s5 kuna mtu aliinunua online kwa dollar 20 na ushee,ila kwa iphones sijawahi iona.
wala amna kitu zile za kichina, nguvu ya soda, baada ya mwezi chali, inazidiwa na og zenyewe za 1900mAh
...hazikiwaa ki over heat na kulipua simu
 
Ok cha kufanya nunueni battery flan za kawaida tu zinaitwa excellent. zipo za iphone na samsung na makampuni mengine. bei yake kawaida buku 15, 20 inategemea na muonekano wako tu happ dukani na mazoea yako ya kulipa .

zipo poa na zinafaa tu. unaenjoy kama wanavyoenjoy wengine. zina bar code ya kuverify kama nibyenyewe au lah...

yes hzo za excellent natumia zipo vzr
 
Hebu funguka vizuri mkuu zinakuwa zimezidije hiyo capacity?

Ww si umesema unataka battery zinazo kaa charge kuliko og maana yake kama battery og ina capacity ya mAh 3500 Hio unayotaka ww inaweza ikawa elf 5000
 
Back
Top Bottom