Habari wakuu nilikua nina shida ya app yakuweza kutengeneza beat yan. Kama produz

Naomben msaada jaman Wa iyo app ya kutengeneza beat

Mashindano ya NevyKenzo Cup yamemalizika Tanganyika Packers Kawe jana, mtafute haraka huyo Msanii na Producer akusaidie hiyo shida yako ila kwa humu Jamvini ' biti ' tunalojua Kulitengeneza ni la Mtu fulani ' Kutenguliwa ' madarakani lakini bahati mbaya inaonekana ' biti ' letu bado halijamkuna vilivyo Mhusika na Yeye kaweka zake sasa Pamba masikioni mwake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom