Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Salamu wapendwa, Napenda kufanya video editing, Tafadhali mwenye free app anisaidie Asante
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari? Je naomba kujuzwa ubora wa hiyo simu na madhaifu yake. Ahsante
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Hivi wakuu naweza prove aje kuwa managerdhlcompany01@gmail.com ni email ya Manager wa DHL Senegal, maana naona naweza nina mashaka na hiyo email kama kweli ni ya Manager wa DHL. CHIEF MKWAWA
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Habari ndugu,naomba kwa wale wote tuliopo Jiji la Dodoma na tuna ujuzi kuhusiana na computer na hata kama mtu ana elimu kuhusiana na computer,naomba tutafutane kuna ishu ninayo hapa. Nitafute...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nipo najichanga nataka kununua tena simu janja baada ya kusota miezi kadhaa. Kama uzi unavyosema ninunue simu gani kati ya hizo? Kama unatumia simu mojawapo naomba kasoro na sifa nzuri (sio...
1 Reactions
29 Replies
7K Views
Njia hii ni nyepesi sana, kinachofanyika ni kupewa siku 30 upya na utatumia idm kwa mwezi mzima na baada ya hapo utarudia tena kuongeza muda.. VIDEO YA MAELEKEZO. DOWNLOAD...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kujua app ambazo unaweza Fanya survey na ukapata pesa iwe kama Salio au mda wa maongezi.Asante
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Habari za weekend wakuu,najua mpo salama.Nilikuwa naomba msaada mwenye microsoft office 2007 au 2000 ani attachie hapa jukwaani nina shida nayo na hapa nilipo nimeshindwa kuipata sababu niko mbali...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
nina vocha kama za elfu kumi bahati mbaya zmefikia expire date bila kutambua so vipi naweza zifanya zitumike tena?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mambo vipi wakuu? Mimi niko na simu yangu Tecno Camon CX toka 2017, sasa tatizo limekuja baada ya kumuazima jamaa yangu hii simu na kunirejeshea ikiwa haichaji kwa haraka kama mwanzo. Hapo awali...
2 Reactions
29 Replies
5K Views
Last week nilienda Kariakoo. Kila simu kali ninayoulizia inaanzia 400,000 na kuendelea. Wakati natoa hela mfukoni ili ninunur simu aina ya Oppo au Samsung ambazo nilimwambia yule dada aniwashie...
8 Reactions
73 Replies
10K Views
Mwenye application hii ya office anitumue please
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wataalam, Nina Tv flat ya solar pekee (hizi zinazokuja na vifurushi vya umeme wa jua kama Mobisol na Zola) Je, naweza kuongeza kifaa gani ili nitumie katika umeme wa ac? Ni lazima nipate...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Habari wataalamu, Naomba kuuliza kati ya hizi flat Tv mbili ikiwa ukubwa wake ni inch 32 zote ipi ni bora zaidi kuanzia durability, picture quality muonekano na value for money? Asante, naomba...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Jambo Wakuu? Nimekuwa napata utata wa ni njia ipi ya kutunza battery ya laptop isiharibike nguvu ya kukaa muda mrefu kwa sababu nakutana na maelezo ya aina mbili. NJIA YA KWANZA: Ni kuwa inabidi...
0 Reactions
39 Replies
10K Views
wakuu vp. nimepata changamoto kushindwa kupata apps ya kushare files kati ya pc na simu na nina hitaji sana. nimejaribu blue stuck ila inazingua sana kwenye pc yangu na ipo slow. nimejaribu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wasalaam wakuu, Naomba mwenye software ya Adobe Audition 1.5 anisaidie tafadhali. Email yangu ni mamajrusha@gmail.com Ubarikiwe.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwenye IPTV ya tv1 Tanzania anipe
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Data scientists ni MTU anayetafuta pattern kwenye data nyingi (big data), Zifuatazo ni kaz za data scientists on daily basis Ku-build data storage systems Kwa ajili ya ku-store big data Ku-clean...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…