App gani nitumie kwa ajili ya Online survey?

Mchepuko1

JF-Expert Member
Sep 18, 2018
215
102
Naomba kujua app ambazo unaweza Fanya survey na ukapata pesa iwe kama Salio au mda wa maongezi.Asante
 
Premise iko vizuri,nishapiga kama laki na nusu hivi toka niifahamu mwezi mmoja uliopita
 
Duh umewezaje mimi nina miezi 8 tangu kuijua ila sijawahi kufikisha 1000 na wala sijawahi ku hamisha pesa yani sielewi elewi.
 
Tunaomba mtu eleze kwa kirefu hii online survey ni kitu gani wajuzi,kwa mfano mm sijaelewa hata kidogo pamoja ni hizo comment hapo juu
 
online survey kuna maswali unatumiwa ukimaliza kujibu wanakulipa hiyo pesa utakayopewa unaweza kutoa kama Salio la mda wa maongezi mfano ni geopoll kwa premise ukitoa inaenda m pesa au Tigo pesa
Tunaomba mtu eleze kwa kirefu hii online survey ni kitu gani wajuzi,kwa mfano mm sijaelewa hata kidogo pamoja ni hizo comment hapo juu
 
Nielekeze na mimi mkuu..
Premise wanatoa survey, kwa kigezo cha location uliopo.Lakini kikubwa zaidi ni mfumo wa kuwahi survey/task zikitolewa(first come, first served). Kwa uzoefu wangu, muda mzuri wa kuangalia survey/task kwenye app ni saa 6-8 usiku, unaingia kwenye app unareserve task kwa ajili ya kuifanya baadae.Mchana mara nyingi survey watu wanakuwa washaziwahi, ndo maana ukifungua unakuta empty.

Mimi nilipata task 31,ambazo kila moja nililipwa wastani wa tsh4500.Task zilikuwa za kupiga picha mabango.

Na surveys huwa napata daily za kama tsh 500 hivi, ingawa ni ndogo ila zinatosha kusaidia vocha
 
Poa
 
Premise iko vizuri,nishapiga kama laki na nusu hivi toka niifahamu mwezi mmoja uliopita
Mkuu hivi premise kwenda M Pesa inakubali?
Maana kila niki cash out kwa M Pesa inafeli ila kwa salio lakawaida ndo inakubali
 
Back
Top Bottom