Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,643
- 4,185
Last week nilienda Kariakoo. Kila simu kali ninayoulizia inaanzia 400,000 na kuendelea.
Wakati natoa hela mfukoni ili ninunur simu aina ya Oppo au Samsung ambazo nilimwambia yule dada aniwashie nizichrck specifications zake, ghafla sauti ikanijia kichwani ikisema "kumbuka unadaiwa hela ya pango tangu Septemba,Safari hii mwenye nyumba hatokuvumilia".
Hapo hapo, nikarudisha kiasi kinginr cha oeda mfukoni, nikachukua 180,000 nikampa yule dada wa dukani nikamwambia "Nipatie Tecno Pouvoir 3 Air niwahi nyumbani".
Akanipa nikadownload:
-Gallery
-File Manager
-Notebook na
-Calender
(Maana yake havikuwepo kwenye simu)
Ndio naitumia hapa, kazi yangu ni kupokea manotification kila nikiwasha data.