Fast Charge: Maana yake nini? Vipi inaweza kuathiriwa?

Aug 29, 2019
59
57
Mambo vipi wakuu?

Mimi niko na simu yangu Tecno Camon CX toka 2017, sasa tatizo limekuja baada ya kumuazima jamaa yangu hii simu na kunirejeshea ikiwa haichaji kwa haraka kama mwanzo. Hapo awali nilikuwa nachaji masaa mawili na nusu 0-100% lakini sasa inahitaji masaa 8 kujaa.

Sasa ndio nimeandika kuomba kujuzwa tatizo litakuwa ni nini wakuu?
 
Tatizo liko kwenye chaji unayotumia badili ingine si ulimuazima simu na chaji au
 
Mambo vipi wakuu?

Mimi niko na simu yangu Tecno Camon CX toka 2017, sasa tatizo limekuja baada ya kumuazima jamaa yangu hii simu na kunirejeshea ikiwa haichaji kwa haraka kama mwanzo. Hapo awali nilikuwa nachaji masaa mawili na nusu 0-100% lakini sasa inahitaji masaa 8 kujaa.

Sasa ndio nimeandika kuomba kujuzwa tatizo litakuwa ni nini wakuu?
Hiyo simu na betri ni yako kweli au kuna biashara imefanyika ?
 
Download app inaitwa ampere playstore kisha chaji simu then ifungue halafu post amps zake hapa jukwaani.
Screenshot za ampere hizi hapa mkuu
Screenshot_20191206-075250.jpeg
Screenshot_20191206-075309.jpeg
Screenshot_20191206-075327.jpeg
Screenshot_20191206-075337.jpeg
 
Back
Top Bottom