Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

BADO MWEZI 1 TU! KUFIKIA MWISHO WA MAISHA YA WINDOWS 7 Tarehe 14 January ndio siku rasmi kampuni ya Microsoft kuacha kuitunza Windows 7, hivyo watumiaji wake hawatapata msaada wowote tena...
1 Reactions
32 Replies
6K Views
Naomba anayeijua hio simu tajwa hapo juu anisaidie kunipa uzuri wake pia weakness zake. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
924 Views
Nenda ktk mada husika hivi nimekuja kwako kutafuta spare kama fundi or mteja nikakuambia niana shida na kitu or spare flani ukaniambia unayo nakuuliza mzima unaniambia ndio nakulipa kama...
0 Reactions
2 Replies
550 Views
Kinaitwa "The spy and traitor" Author: BEN MACINTYRE Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
975 Views
Hey mabahria wenzangu hivi karibun nilipata Vicente nikaona si mbaya kama nitanunua haka kamcuine ili niwe nafanya usafi mara kwa mara ila Toka nimekabunua mpaka leo sijakatumia hata mara moja...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hii simu inaandika hivi shida itakuwa nini? Nimerestore ila bado inagoma Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Apple, Google, Tesla na Microsoft ni baadhi ya makampuni yaliyotajwa katika kesi ya madai ya fidia ya vifo na majeraha ya wachimbaji watoto wa migodi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,DRC...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nime root sim yangu TECNO Y3+ nikafuta system app nimefta dialer sasa nikadownlod nyingine nikimpigia mtu inaita ila haileti sehem ya kukata yan kiufupi haionyeshi kama ipo inaita msaada tafazal...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
naombeni msaada wa looping ya network ktk Circuit ya Tecno L8 , njia yake imengo'ka Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu natumah mpo njema ile kinjema E bhna jamaa zangu nina shida sana na game la FIFA kwajili y kulicheza kwny pc mwenye set up zake naomba naomba anifanyie busara jmn Mwenye nalo la mwaka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, nmeroot simu yangu ya tecno y3. Android ya simu ni 4.4.2 . Sasa nataka kuiupgrade kwenda 5.0+ nisaidieni wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wajuvi, Natumia sony xperial Z2 yenye android marshmallow nashidwa kabisa kuielewa (kuifurahia) android marshmallow maana nikijaribu kuroot kwa kingroot au kingoroot inakataa na mimi bila...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi ni kweli kwamba katika smartphone camera iphone ndo yuko vizur? Maana nahitaji ninue kati ya iphone 5s au galaxy note 4 naombeni mawazo yenu...
4 Reactions
292 Replies
41K Views
Habari za muda huu wadau! Nawasalimu, kama kichwa cha habari kilivyoeleza nakaribia kumaliza chuo hivyo natamani nifungue ofisi ya kufanya maintenance na graphics. Kwenye comp maintenance...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wadau, Kama kuna ambae amekumbwa na tatizo kama langu nahitaji kujua amelitatuaje. Natumia yo WhatsApp lakini toka jana nikaambiwa niupdate new version, ile kuupdate new version nakuta...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa wale wenzangu wa ku design kwenye Adobe. Pale unapoingia katika Mini Bridge ukichagua picha inagoma pia inaleta maneno kama hivi. Pia ukihamishia picha kwenye Sim ukitafuta kwenye Sim...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Waungwana nina tatizo na simu yangu aina Samsung S9+ Hii simu kila zikibaki MB kuanzia 200 basi inapoteza intenet access. Lets say umeweka kifurushi (data bundle) basi nikishapokea ile taarifa ya...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyojielewa wanajukwaa nina blog yangu naiendesha kupitia simu sasa inakuwa ngumu baadhi ya vitu kuviset hivyo nahitaji laptop. Je niandae bei gani na laptop iwe na space zipi ili...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
kwa watuiaji wa cm za ideos/smartphone phone book yako yote hata kama una cm tano unaweza sync(hawilisha kiswhili chake sijui ndiyo hicho) zitasomeka kwenye mail yako na kwenye cm.kwenye cm...
3 Reactions
1 Replies
8K Views
Wakuu habari Naomba msaada, jinsi naweza kudownload free mp3 audio files kwa app au namna nyingine nikitumia simu yangu Asante Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…