Naomba msaada wa kujua App nzuri ya kupakuwa nyimbo 'audio" bure

Hii hapa
Screenshot_20191214-193222.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hmkuwe said:
Simu ikiwa nzito kwani yako? unachotakiwa kufanya ni kutatua tatizo ikiwa nzito kwani shida yako nini?
Kwa hyo mtu akihitaji kitu unamwachia tu hata kam kitampa tatizo eti kwa vile amekitaka yeye? Cha msingi hapa mtoa mada asaidiwe namna ya kupakua nyimbo bure si lazima iwe app.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom