Msaada wa gemu la Fifa

fasi dwasi

R I P
Sep 23, 2018
105
98
Wakuu natumah mpo njema ile kinjema

E bhna jamaa zangu nina shida sana na game la FIFA kwajili y kulicheza kwny pc mwenye set up zake naomba naomba anifanyie busara jmn

Mwenye nalo la mwaka wowote lile mi litanifaa maana nina ugwadu na FIFA ile mbaya

Nitalifuata hilo game popote utapokuwa ndani ya Dar

Msaada plz
 
Pc yako iko vizur lkn in terms of specification mm nauza hapa njoo uchukue uje na 10000 nipo ubungo msewe
 
Wakuu natumah mpo njema ile kinjema

E bhna jamaa zangu nina shida sana na game la FIFA kwajili y kulicheza kwny pc mwenye set up zake naomba naomba anifanyie busara jmn

Mwenye nalo la mwaka wowote lile mi litanifaa maana nina ugwadu na FIFA ile mbaya

Nitalifuata hilo game popote utapokuwa ndani ya Dar

Msaada plz
Mkuu una mashine ya uhakika? Kama huna mashine wasiliana nasi Soko kuu, kwa namba 0769 524 022. Upate pc yenye nguvu kwa ajili ya gaming.
 
Kama machine yako ina nguvu ya kusukuma ilo dude kuna FIFA 18 apa njoo na buku 5 tu
 
Angalia uwezo wa pc yako Kisha Zama,

Oceanofgames.com
Kickass.com
Piratebay.com
Fitgirl.com

Na GB zako za kutosha, una download unainstall, unaplay mzigo unaanza kucheza Kama utatumia pad au keyboard Hilo juu yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom