Tatizo la picha kugoma kwenye Adobe

Tatizo la picha kugoma kwenye Adobe

Mamserenger

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2019
Posts
1,156
Reaction score
2,120
Kwa wale wenzangu wa ku design kwenye Adobe.

Pale unapoingia katika Mini Bridge ukichagua picha inagoma pia inaleta maneno kama hivi.

Pia ukihamishia picha kwenye Sim ukitafuta kwenye Sim haionekani.

Msaada wakubwa.

Naleta uhitaji.

20191206_124457.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1291791

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umeedit extension ya image manually itakusumbua.
Jaribu kufuta hiyo image na Kisha ichukue upya kutoka ulikoitoa Kisha fanya yanayofuata.

Ikishindikana tumia photo viewer yoyote hasa hiyo iliyomo kwenye window Kisha itumie kufungua image yako Kisha utaisave/export Kama png au jpeg kisha nenda kaifungue Tena kwenye ps.
 
Back
Top Bottom