Yeyote anayefahamu how to go back to android 5 lollipop from android 6 marshmallow

monotheist

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
720
943
Habari wajuvi,
Natumia sony xperial Z2 yenye android marshmallow nashidwa kabisa kuielewa (kuifurahia) android marshmallow maana nikijaribu kuroot kwa kingroot au kingoroot inakataa na mimi bila kuroot simu sioni raha ya simu kabisa

Hivyo basi kwa yeyote anayefahamu jinsi ya kuback android lollipop au kuroot simu yenye android marshmallow msaada tafadhali
 
Usiidowngrade ...kuanzia mashmallow kingroot haiwezi kurroot tumia PC kuna program inaitwa ODIN inamaliza kila kitu ila tafuta maelekezo youtube kutokana na brand ya simu yako ili upate links za file za kurutia
 
Habari wajuvi,
Natumia sony xperial Z2 yenye android marshmallow nashidwa kabisa kuielewa (kuifurahia) android marshmallow maana nikijaribu kuroot kwa kingroot au kingoroot inakataa na mimi bila kuroot simu sioni raha ya simu kabisa

Hivyo basi kwa yeyote anayefahamu jinsi ya kuback android lollipop au kuroot simu yenye android marshmallow msaada tafadhali
Kwann unataka kurudi lollipop
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom