fungua akaunti ya gmail itakusaidia sana katika kutunza baazi ya kumbukumbu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

fungua akaunti ya gmail itakusaidia sana katika kutunza baazi ya kumbukumbu.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by no9, May 11, 2012.

 1. no9

  no9 Senior Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 190
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa watuiaji wa cm za ideos/smartphone phone book yako yote hata kama una cm tano unaweza sync(hawilisha kiswhili chake sijui ndiyo hicho) zitasomeka kwenye mail yako na kwenye cm.kwenye cm unaingia kwenye settings-account and sync halafu utaingiza hiyo account yako email ya gmail.com halafu una-sync kwenye cm yako zile namba zako zilizopo kwenye cm zinaenda kwenye email yako kila ungeza namba unaweka on/off kwa hiyo siku cm ikipotea unanua cm unarudia huo utaratibu tena zile namba zako zinarudi zote huna sababu ya kuandika kwenye diary nyumba ikungua ncutazipata wapi?nakama unaacount nyingi kama facebook pia zinakuja kwenye cm yako kwenye samsun galax inasyn mpaka matukio mbalmbali km bdays inaingiza kwenye kalenda ya mwaka mzima.jaribu uone napenda gmail kwasababu nilahi kuyaona majina
   
Loading...