kagombe
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 3,624
- 1,827
Nenda ktk mada husika hivi nimekuja kwako kutafuta spare kama fundi or mteja nikakuambia niana shida na kitu or spare flani ukaniambia unayo nakuuliza mzima unaniambia ndio nakulipa kama ulivyotaka nakwenda ifunga au kuitumia naona inashida nakuuliza unaniambia hapo ni pakurekebisha kidogo.nakurudishia urekebishe lkn ninavyokuja kuchukua nakuuliza mbona naona hakuna sehemu iliguswa unaniambia tayali nafika tatizo naona lilelile.UJUMBE awe fundi or mteja mwambie tu hii spare ina shida kama unaweza kurekebisha nipe pesa ukapambane nayo mwenyewe,sie wengine masuala ya kupangana tunaona ni kupoteza wateja na uaminifu napenda tufanye kazi ya ufundi sio kwa mazoea tufanye kazi kama inavyotakiwa.maana tunapotezeana muda na uaminifu kwa ma custome wetu.mafundi tubadike