Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Moja kati ya matatizo ya zama hizi kwa watumiaji wa simu ni uwezo wa simu zao kukaa na chaji. simu zinakaa na chaji kwa muda mchache kiasi kwamba inabidi wajinyime matumizi waache kufanya vitu...
45 Reactions
145 Replies
54K Views
Wadau naomba nijuzwe hii kadi ya MasterCard iliyozinduliwa jana inapatikana vipi na kwa masharti na vigezo vipi? Na pia inaweza kuunganishwa na paypay au skrill? msaada tafadhari bandugu
1 Reactions
38 Replies
9K Views
Watalaamu naomba msaada juu ya hili. Simu yangu aina ya Samsung J5 nikitumia inapata moto sana. Nini tatizo? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa mdau anayeijua app ya kuwezesha kuvuta/kunasa sauti iliopo mbali hatua kadha anisaidie tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Msaada jinsi ya kuondoa white dot kwenye tecno wx3. Nimejaribu njia kadhaa sijafanikiwa. Mfano njia ya kuingia setting >apps>assistive touch ila sijafanikiwa , pia njia ya kuingia developer...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
baada ya kuona watu wapo aware now na masuala ya internet naandika hii post kuwasaidia watumiaji wa simu kuweza kupata kile anachokipata mtu wa pc MASUALA YA MOVIES Kwa wale wenye bundle za...
10 Reactions
56 Replies
9K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Hello bosses... Kwenye kupitia pitia makala mbalimbali mtandaoni na pia humu nimeona watu wanaipondea sana php kwa sababu zisizo za msingi. Hivyo naona na mimi niseme machache kuhusu hilo...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu Naombeni muniambiye app za gym za iphone zisizo za kulipa nisaidiyeni jamaa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Habari zenu wadau, nataka niagize mzigo huo naombeni maoni yenu kama nitaingia chaka au nitakuwa nimepata simu ya uhakika. Na kama kuna ambaye amewahi kutumia series ya moto g Motorola naomba...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Yowhatsapp ni MOD ya whatsapp yaani ni app iliyokuwa modified kutoka kwenye official whatsapp. Hii app imefanyiwa maboresho na kijana Yousef al Basha(student computer science) na kuongezewa...
7 Reactions
133 Replies
28K Views
Habari zenu wakuu!?.. ________________________ Uzi huu ni maalumu kwa wale ambao walikuwa wanatumia Unofficial Whatsapp kama GBWhatsapp,YoWhatsapp,FMWhatsapp n.k kisha wakajikuta wanakula (BAN)...
2 Reactions
114 Replies
23K Views
My Macbook Pro doesnt boot, it keeps restarting, giving me a silly message that "Your computer restarted because of a problem. Press a key or wait a few seconds to continue" I have done all of the...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa mtandao wa TIOBE, C programming language imekua the top language kwa mwaka 2017, na hii imetokana na ukuaji wa uzalishaji wa viwanda ambao kwa namna kubwa C programming imekua...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kompyuta yangu inatoa meseji hii, tatizo nini? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hizi namba za kwenye switches za fridges zinamaanisha nini exactly... Mfano 1 mpaka 5...ina impacts gani kwenye utendaji kazi wa fridge na ulaji wa umeme?
2 Reactions
16 Replies
10K Views
Habari zenu ndugu zangu naomba kuwauliza.. Je ninapo download habari au taarifa au ninapoiandika kwenye excel, word, au power point na kui download iwe kwenye PDF nawezaje kuiprint ikawa katika...
0 Reactions
1 Replies
556 Views
Wadau kuna jamaa aliwahi kutangazwa na vyombo vya habari kama sijakosea ilikuwa ITV akielezea jinsi alivyobuni simu yake kama Remote ya kuwasha na kuzima bulb,kufunga na kufungua gate n.k.Wadau...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Hallow wadau wa JF Naomba msaada kwa sasa natumia Yowhatsapp nataka kurudi kwenye Official WhatsApp. Lakini nataka kufanya Backup ya meseji na picha ambazo zipo kwenye Yowhatsapp. Yaani...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…