Nisaidieni kutatua shida hii katika kompyuta yangu

Kaliculus

JF-Expert Member
Nov 8, 2019
271
246
Kompyuta yangu inatoa meseji hii, tatizo nini?

IMG-20191208-WA0002.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Komputa yangu inatoa mesej hii, tatizo nini?

[ATTACH type="full" alt="IMG-
20191208-WA0002.jpeg"]1297570[/ATTACH]






Sent using Jamii Forums mobile app
Iache mbaka hizo 30% zi complete zenyewe kisha itajirestart yenyewe auto kifupi iache halafu angalia kama hizo 30% zinapungua au zinapanda mbaka 100% itaendelea kama kawaida
 
Nimeona kutatuliwa nikastuka maana vijana mnataka demokrasia za ajabu siku hizi
 
Hio ni BSOD au Blue screen of death ni kitu cha kawaida kwa windows inapo crash,

Sababu zinazoweza pelekea ni nyingi sana.

Angalia kuna code mstari wa chini jaribu kuigoogle unaweza pata clue ya tatizo.
 
kiukweli ni simple sana window 8 hadi 10 na matoleo yake yamekua kero kubwa sana hasa kwa machine za kizamani computer au zenye ram ndogo na vitu vingine badilisha OS yaani window weka 7 na kama unataka kuendelea na izo 8........hadi 10 basi weka RAM ianzie na GB 2 na kuendeleaa itasaidia sana mkuu
 
HDD yangu kipindi inakaribia kufa ilikua inatoa error Kama hiyo fanya mpango wa new HDD boss.
 
Back
Top Bottom