kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 1,996
- 5,045
Hello bosses...
Kwenye kupitia pitia makala mbalimbali mtandaoni na pia humu nimeona watu wanaipondea sana php kwa sababu zisizo za msingi. Hivyo naona na mimi niseme machache kuhusu hilo
Kiufupi tu php haiwezi kutoka kwenye soko kiurahisi kwani zaidi ya asilimia 30% ya websites zote duniani zinatumia php(kwa sababu wordpress site zote ni php na wordpress inapower zaidi ya 30% ya website zote duniani). Pia ukiangalia hosting providers wanaotoa free au cheap hosting wengi wanaruhusu php tu kwenye hizo shared hosting plans na sio python au c#(Hiii inafanya developers/ companies zenye bajeti ndogo ya hosting kutumia php).
Beginners ni vizuri sana kujifunza php coz iko simple kwa kuanzia lakini inakupa mwanga wa kujua mambo mengi sana ambayo utayahitaji kwenye safari yako ya kujifunza languages nyingine. Kwa beginner kujifunza php kutamsaidia ajue concepts zifuatazo in coding point of view
1)Backend programming
2)IP addresses
3)Database management
4)CRUD operations
na mengine mengi ambayo yatakurahishia ukianza kujifunza technology kama ASP.net au DJANGO.
Pia inabidi mtu uchague programming language ya kujifunza kwa kuangalia vitu vikuu viwili
1)Mahitaji yako
2)Learning curve yako
so usiamue tu kuacha php kisa watu wanaisema vibaya au kuchagua python kisa watu wanaisifia bali angalia wewe kama wewe unataka nini na utajifunza vipi.
Mfano hosting providers wote wa bongo wanaruhusu php tu kwenye shared plans zao, hivo hivo kwa hosting wengine wakubwa kama Hostinger, ili kutumia python au nodejs kwa backend wanakutaka uwe na VPS plan au Dedicated cloud hosting.
Hivyo kwa beginners nashauri muanze na HTML(japo sio programming lang), CSS na Basic javascript(itakusaidia kwenye jquery) kwa upande wa front end (UI/UX designing) lakini kwenye backend nashauri muanze na PHP kwani iko very cheap and simple in terms of resources, support, learning and hosting cost (I recommend 000webhost for free php hosting)
Happy coding.......!
Kali linux(Fullstack Programmer)