musabuze
Member
- May 25, 2018
- 30
- 25
Link hii.
swahililand.forumotion.com View attachment 1297305View attachment 1297306
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona una kila dalili za wivuingawa naona ulishafeli tayari.
Uchawi huuKila la heri ingawa naona ulishafeli tayari.
hapana mkuu, si uchawi huoni kosa lake hapo lililo wazi?Uchawi huu
Kosa lake ni kutumia majina ya majukwaa ya humu na kwa mipangilio ileile, tumpe moyo atafika.hapana mkuu, si uchawi huoni kosa lake hapo lililo wazi?
ndio maana nikamtakia kila la heri. Ingawa kwa uono wangu ni kama kashafeli.Kosa lake ni kutumia majina ya majukwaa ya humu na kwa mipangilio ileile, tumpe moyo atafika.
Mapendekezo
1. Badilisha jina la forum liwe swahililand au swahiliforum kwasababu iwe rahisi hata unapoitafuta google
2. Weka option ya member kubadilisha jina mwenyewe
3. Weka option ya mtu kuedit title ya thread yake
4. Weka option ya mtu kufuta thread
Nimetumia majukwaa ya jf ili kuonyesha theme kamiliKosa lake ni kutumia majina ya majukwaa ya humu na kwa mipangilio ileile, tumpe moyo atafika.
Nimewaza hiyo msuggest kwa sababu nimechukua majukwaa ya jf ili nijuze mpate full theme yake
Sent using Jamii Forums mobile app