Mnaonaje Moto G7 Plus, inafaa?

Mnaonaje Moto G7 Plus, inafaa?

PCGAMES

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
802
Reaction score
1,192
Habari zenu wadau, nataka niagize mzigo huo naombeni maoni yenu kama nitaingia chaka au nitakuwa nimepata simu ya uhakika. Na kama kuna ambaye amewahi kutumia series ya moto g Motorola naomba unipe uzoefu wako juu ya hizo simu tafadhali hasa katika ubora wake, Asante.
Screenshot_20191223-114041.jpeg
Screenshot_20191223-114059.jpeg
Screenshot_20191223-114111.jpeg
Screenshot_20191223-114121.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaosema battery haifai mmeishaitumia?
Nakushauri mleta mada tafuta ushauri kwa watumiaji wa hiyo simu.
 
Asanteni kwa ushauri wenu wadau. Nimeona nichukue uamuzi wa kununua Xiaomi Redmi Note 8 Pro nadhani ime balance kwenye features sehemu nyingi.
Screenshot_20191224-003229.jpeg
Screenshot_20191224-003240.jpeg
Screenshot_20191224-003252.jpeg
Screenshot_20191224-003302.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom