mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,714
Watalaamu naomba msaada juu ya hili. Simu yangu aina ya Samsung J5 nikitumia inapata moto sana. Nini tatizo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana betri inachukua muda mrefu kuishani muda wa kutafuta betry nyingine sasa,inaisha haraka?