Wps office Premium

Wps office Premium

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Wadau Kama kuna aliye na app hii WPS OFFICE PREMIUM for tab anisaidie, whtsapp 0718830740

Sent from my JOY10_LTE using Tapatalk
 
Bado jamani sijafanikiwa

Sent from my JOY10_LTE using Tapatalk
 
Wadau ninatumia X tigi tablet nimejaribu kuweka app ya WPS ambayo ni premium lakini hapa imegoma, naomba aliye na link anitumie au anisaidie kupata application.

Namba ya Whatsapp na Telegram ni 0718830740

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Search wps office hapa
Kisha chukua premium yenye neno multilingual ni apk ya pili Kati ya zitakazotokea.
Kwenye mabano ina neno (babuPC).
Nimefungua lkn nilichokiona ni hiki hapa chini
Screenshot_20191229-215126.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefungua lkn nilichokiona ni hiki hapa chiniView attachment 1305947

Sent using Jamii Forums mobile app
nimekuambia usearch hapo neno wps office chukua wps office multilingual ya babuPC au ya apkmaza hapo

Au copy hii text

C69F4E53A21FA0939098E300072589F33E3CF06F

ipaste hapa


alafu tap download hahikisha una BitTorrent au uttorent
 
Najaribu kudownload haikubali maana hakuna option ya kudownload angalia picha

Sent using Jamii Forums mobile app
Option ipo angalia magnetic sign iliyokaa kama u hata hivyo nimesha kurahisishia copy hiyo hash magnet link kapaste kwenye search engine hii hapa

Rejea post ya juu hapo nimeelezea. Hahikisha una download yenye seed kwanziia 5 n.k
 
nimekuambia usearch hapo neno wps office chukua wps office multilingual ya babuPC au ya apkmaza hapo

Au copy hii text

C69F4E53A21FA0939098E300072589F33E3CF06F

ipaste hapa


alafu tap download hahikisha una BitTorrent au uttorent
Hadi naona aibu kuendelea kukusumbua niko tayr nikutumie hela uweke mb unisaidie kudownload nimechemka sioni sehemu ya download rafiki,pole kwa usumbufu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom