Shukran mkuu ngoja nifanye hivyo....
Achana Na Easeus Data Zitarud IncompleteNimeformat data zangu kwenye partition
bila kujua. Msaada jinsi ya kuzi recover
Ni muhimu sana wanajamvi, msaada wa haraka unahitajika.
Fuatilia huu UziNimeformat data zangu kwenye partition
bila kujua. Msaada jinsi ya kuzi recover
Ni muhimu sana wanajamvi, msaada wa haraka unahitajika.