Naomba kufahamu kuhusu Realme x2 Pro

Naomba kufahamu kuhusu Realme x2 Pro

Feiaidan

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
237
Reaction score
130
Naomba kwa anayefahamu performance ya "Realme x2 Pro" ikoje, ambaye ameshaitia mikononi au ambaye ana experience na simu za "Realme" aseme neno.

Na price range kwa bongo ikoje. Nimeona ina specs nzuri sana, ingawa sijajua kama performance yake inaakisi hizo specifications.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tembelea gsmarena.com utapata maoni ya watumiaji huko
Vile vile search youtube utapata review
 
Naomba kwa anayefahamu performance ya "Realme x2 Pro" ikoje, ambaye ameshaitia mikononi au ambaye ana experience na simu za "Realme" aseme neno.

Na price range kwa bongo ikoje. Nimeona ina specs nzuri sana, ingawa sijajua kama performance yake inaakisi hizo specifications.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli mimi nilivoangalia review yake nilikuwa impressed sana. Ila nilikuwa disappointed na kitu kimoja tu nacho ni Camera.

Ila niliona jamaa mmoja youtube amefanya comparison ya camera kwenye simu mbili za realme x2 pro. Moja ikiwa na GCAM nyingine ikiwa na ile app ya camera iliyokuja na simu. Picha za GCAM zilikuwa very impressive...

Ni moja ya simu ambayo nafikiria kuinunua hasa kwa sababu hizi.

1. Vooc Flash charging - 100% in 30 minutes with 4000mAh battery

2. 90Hz display tena ambayo ni super amoled

3. SD855+ Chipset

4. Headphone jack

5. In display fingerprint

Niliona review ya jamaa mmoja akiplay heavy games kama PUBG na Cally of Duty. Aiseee ipo very smooth.

Nadhani kitu pekee ilichokosa ni IP rating....


Kwa ndugu zetu wakenya naona inatembea kwenye 800k hadi 1m

Huko nchi za ulaya na Asia naona ni kuanzia $374


Review za camera ya gcam hizi hapa....







Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijajua...lakini kupata simu yenye specs kali kama za realme x2 pro ila kwa bei ambayo ni chini ya bei ya realme x2 pro sidhani kama itawezekana...

Next year lazima tu ninunue hii simu.... .
Nimekupata vizuri mkuu.

Kwahiyo shida hapo ni Camera.
Na kama ni gcam, nadhani hata simu zingine zinazoenda cheap kuliko hii zitafanya vizuri na gcam sio??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom