Kamwene kamwene
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,159
- 2,585
Naomba kufahamu hackers wanafanyaje kwenye port scanning na denial of service
Umekwama hapo?
Port scanning and denial of service ni hile hali ya kutuma several request to the target server kuifanya iwe bize kurespond hizo several request kiasi kwamba legitimate request zinakuwa denied (denial of service). Nia ni kufanya hiyo server isipatikane hewani na kumuharibia biashara (rival businesses)Naomba kufahamu hackers wanafanyaje kwenye port scanning na denial of service
Port scanning and denial of service ni hile hali ya kutuma several request to the target server kuifanya iwe bize kurespond hizo several request kiasi kwamba legitimate request zinakuwa denied (denial of service). Nia ni kufanya hiyo server isipatikane hewani na kumuharibia biashara (rival businesses)
Unatafuta majibu ya mtihani au?
Simulation uwakilishi (kwa kutumia kompyuta) wa kitu halisi unachotaka kukifanya. Kwa mfano unataka kutengeneza machine ya kukamua muwa kwa kutumia umeme. Utaweka viwakilishi vya vitu vyote utakavyotumia kutengeneza hiyo machine kama motar, vinu vya kukamua juice, mahali pa kuingiza muwa na kutokea, na juice itakavyokuwa inatoka, n.k. Sasa ukitengeneza viwakilishi hivyo vyote kwa kutumia komputa na ikaonyesha katika muvi (movie) jinsi itakavyokuwa imafanyakazi ndo inaitwa "animation"
Teamviewer ni application ya kuwezesha kuingia kwenye desktop ya computer iliyombali na wewe na kufanyakazi kana kwamba huko hapo hapo. Inahitajika pawepo na mtu wa kuweza kukuunganisha kwa kukutumia namba ya utambulisho wa hiyo computer then baada ya hapo itaunganishwa na desktop ya hiyo PC kwenye PC yako hapo ulipo. Natumiaga sana hii application kuwahudumia wateja wangu
Internet lazimaNi lazima kuwe na access ya internet kwa computer zote si ndio..??
Ntaipitia ila nikikwama usikose kunielekeza zaidi mkuu.