Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu habari naomba msaada nimenunua simu redmi note 7 nikadownload dstv now meseji inayonipa ni kuwa my device is not certfied na uakienda play store kweli kuna hiyo kitu nafanyaje cc mwl rct...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada, laini ya Tigo haifungui data. Simu ni Samsung S8. Naomba wataalamu wa kucheza na setting mnisaidie.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Ebana mambo vp wakuu, kulingana na mada tajwa hapo juu, wengi wanapenda sana kujifunza maswala mbalimbali ya nayohusu web programming kwa ujumla. Waswahili nao hawakubaki nyuma walipodai "kizuri...
0 Reactions
2 Replies
679 Views
Miaka ya hivi karibuni ilionekana kuna tatizo katika suala la kuchaji simu zetu. Kwamba inachukua muda mrefu sana kwa simu kuchajiwa hivyo muda mwingi unapotea katika kusubiri simu ijae. Sijajua...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu wana Jf, Nimenunua Kitochi 4G ya Vodacom sasa ninahitaji huduma ya ku unlock hiki kitochi ili line namba 1 ikubari mitandao yote Asante Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, naomba kujuzwa google Adsense alternatives kwa ajili ya Blog yangu (ina .com extension), pia ina 1500 page viewers/ day.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ndio naanza kabisa kujifunza coding au mambo ya programming. Wakati nataka kujipinda nianzie html jamaa yangu ameniambia nisihangaike nayo kuna language nyingine imetoka inaitwa Flutter...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji msaada wa kupata IMEI no za model za vifaa/simu zifuatazo kama nilivyoambatanisha kwenye picha hapo. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wakuu, Kama kichwa kinavyoeleza naomba msaada kwa yeyote anayeijua App ya kuvuta sauti kwa mfano upo kwenye mkutano mwishoni na hakuna spika yaani mkutano hawatumii redio, so we ukifungua...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu poleni kwa majukumubya kuijenga Nchi yetu changa,naomba kujuzwa aina gani ya Apps nzuri ya kuchunguza kinachoendelea katika simu ya kijana wangu,mahitaji yake ya Chuo siku hizi yameongezeka...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
WADAU MSAADA TAFADHALI ni app gani nzuri ya kung'arisha picha ambayo imechafuka/imepigwa na simu ambayo camera yake haitoi photo vizuri?
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari Nimeshusha mzgo wa fifa 19 muda si mrefu, nime~install na kuwza kuifungua the game but it tells me directx error...nmejrb kudownload directx 11 bila mafanikio Mwenye ujuzi wa haya mambo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina PC ni dell mini (Intel) haina Bluetooth sasa napata shida sana kutranfer vitu kwa USB nipeni mbinu ya kuweka Bluetooth kwenye pc
0 Reactions
20 Replies
4K Views
NIMEONA WATU WAKIANGAIKA JINSI YA KUTOA FRP KWA TECNO N2 ANDRID 6.0 SASA SOLUTION NI HILI NIMEWALETEA FILE DOGO TU AMBALO LIKO CUSROMIZED LINAWEZA KUTOA FRP KWA SIMU YA TECNO N2 BILA KUPOTEZA DATA...
1 Reactions
42 Replies
14K Views
Habari wadau, naomba kujua nifanyaje ili niweze ku-trace location ya namba ya simu iliyonipigia au ninayoipigia. Natakiwa kufanyaje au niwe na nini ili kufahamu mtu huyo yupo wapi. Nisaidieni...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
WanaJF habarini! Mara nyingi niwapo Vijijini (sehemu ambazo network ni dhaifu) napendelea kutumia simu ndogo (ya batani/java phone) maana smartphone huwa slow kupita kiasi tofauti na simu ndogo...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari zenu. Naomben msaada leo asubuhi nilivyoiwasha ikawaka ila haikutoa mwanga kwenye screen feni pia halizunguki...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Nimepita mtandao wa Android Police ambao wameichagua Pixel 3A kuwa ndio simu bora kwa mwaka 2019. Sasa nikiangalia bei yake si ya kitoto halafu sioni kama ina watumiaji wengi Tanzania. Sasa kwa...
2 Reactions
26 Replies
8K Views
Habari za mchana wadau Juzi hapa nilileta habari kuna jamaa kaniuzia laptop accer sasa hii laptop nimekuja kugundua USB port zake supported ni 3.0. naombeni msaada wa tofauti kati ya 2.0 na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hii ni Simu ya Samsung Galaxy A50, ambayo ni miongoni mwa simu za bei nafuu kutoka Samsung. Kwenye hiii video naelezea experience yangu ya kutumia hiii simu kwa miezi 7 ili na wewe uelewe kama...
2 Reactions
0 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…