Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,329
- 1,044
Nina PC ni dell mini (Intel) haina Bluetooth sasa napata shida sana kutranfer vitu kwa USB nipeni mbinu ya kuweka Bluetooth kwenye pc
Mleta uzi hii ndiyo solution.Nunua external bluetooth device, unaichomeka kwenye usb port hapo iko kama flash, inafanana na external soundcard kama unaijua
Sent using Jamii Forums mobile app
Akikosa complex pale anaweza akaenda kkoo atapata mpya maana machinga vinakuaga usedMleta uzi hii ndiyo solution.
Ingawa sijaziona siku nyingi mara ya mwisho mimi niliitumia 2016. Kama upo Dar nenda Machinga Complex, ukiwa unatokea Boma ni upande huu huu utakaoshukia, panda ngazi hadi roshani ya 3 utakuta wanadeal na Computer kwa hardware na software.
Ulizia hako kaishu sidhani kama katazidi 5000 as 2009 mimi nilinunua 10000
hii inawezekanaje kutoa kwenye PC files kuja kwenye cmuTUMIA XENDER YA SIMU KUCONNECT KWA WIFI UTAINJOY
IPI hyo adopterPia sio lazima utumia external usb dongle, unaweza tumia internal PCI adopter
itabidi unifundishe vizuri.Ila mkuu bluetooth na kuhamisha mafile wapi na wapi? Movie moja si utahamisha saa zima?
Kama shida ni kuhamisha mafile tafuta wifi tena wifi ya ukweli sio hizi zinazoishiwa na N tafuta inayoishiwa na Ac na kama unajiweza inayoshiwa na ax ni nZuri zaidi. Utahamisha kwa speed kubwa kama unatumia usb vile.
nikiichomeka itainstall drive za Bluetooth au itakuwaje.Hii hapa external Bluetooth device zipo kibao itakusaidia Kama PC yako haina internal BluetoothView attachment 1292115
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiichomeka tu yenyewe itainstall drive Kisha ukihitaji kurusha kitu kutoka kwenye simu kwenda kwenye kwanza unaenda kwenye Bluetooth icon ya PC una leftclick.nikiichomeka itainstall drive za Bluetooth au itakuwaje.
Nina PC ni dell mini (Intel) haina Bluetooth sasa napata shida sana kutranfer vitu kwa USB nipeni mbinu ya kuweka Bluetooth kwenye pc
hii inawezekanaje kutoa kwenye PC files kuja kwenye cmu
[/QUOTE unaweza fanya utakavyo aidha kutoka kwenye pc kwenda kwenye simu ama simu kwenda kwenye pc unatakiwa kuwa na browser nzur kwenye pc opera inafaa zaid udownload xender playstore kama simu yako haina xender ingia kwenye app ya xender tafta option inayosomeka connect to pc utaconnect via hotspot pc yako itapata wifi network ya xender yako utaconnect na kuingia kwenye browser yako na kuandika web adress kama ilivyoandikwa kwenye simu yako ukimaliza unasearch na kuaccept kwenye simu tayar connection yako itakuwa imekamilika haitumii internet yeyote ni very fast pengine speed yaweza kuwa kubwa zaid ukilinganisha na ukitumia usb cable kuunganisha na simu