SPY CELL PHONE

SPY CELL PHONE

Maarko

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
1,197
Reaction score
611
Wakuu poleni kwa majukumubya kuijenga Nchi yetu changa,naomba kujuzwa aina gani ya Apps nzuri ya kuchunguza kinachoendelea katika simu ya kijana wangu,mahitaji yake ya Chuo siku hizi yameongezeka sana,sasa napata mashaka isijekua na tunza familia ya mtu na hali yenyewe ya Uchumi kwa sasa ni tete
Natafuta hiyo kwa nia njema tu maana kila nikimbana anakataa hana matumizi ya hovyo.
Natanguliza shukrani kwa atakaye nisaidia
 
Kuna watoto wana raha yaani upo chuo baba bado anakuzingatia halafu unamletea komedi!?

Hamna haja ya spy nini wala nini huyo ni mwanao, one thing for sure ni unamuweza kaa naye chini kirafiki mfungukie. Kama yupo chuo basi akili za kujua maisha yamekua kombolela anayo.

Sijajua chuo chake ila vyuo vingi chakula cha chini ni 1500. Tuchukulie ale asubuhi + maji, ale mchana + maji kama yupo hostel ale usiku (asijipikie) inamaanisha kwa siku inabidi atumie zaidi ya 6000... Na hapo hajaweka vocha ili asurf online kwenye library za dunia nyingine.

Hajatoa kopi notes.

Hajatumia nauli ya kwenda na kurudi (kama hayupo hostel za ndani)

Mi naona hayajaongezeka matumizi, labda uainishe nini kimepanda ghafla. Pia kama kapanga nijibu nikupe mbinu ya kupunguza makali.
 
Mzee wangu mambo mengi uko wanachuo wasio na biashara za nje watatoa wapi sabuni,mafuta n.k jinyime atamaliza tu na yeye atakama unahisi anakutapeli msaidie asije geuka omba omba kwa watu bora awe omba omba kwako. Isije mwisho akajiondoa duniani kwa kukosa msaada kwani hana mkopo?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apps nzuri ya kuchunguza kinachoendelea katika simu ya kijana wangu,mahitaji yake ya Chuo siku hizi yameongezeka sana,sasa napata mashaka isijekua na tunza familia
- Mnunulie simu mpya, ( au kama una access na hiyo simu yake basi waweza itumia)
- Ila kabla ya kumkabidhi hiyo simu mpya muwekee mSpy app, { ilipie japo mwezi mmoja tu, ili upate premium features}
- Hapo utapata taarifa zake zote: WhatsApp, Snapchat, Facebook, Calls, SMS, GPS tracking etl
Hamna haja ya spy nini wala nini huyo ni mwanao, one thing for sure ni unamuweza kaa naye chini kirafiki mfungukie. Kama yupo chuo basi akili za kujua maisha yamekua kombolela anayo.
Hili lifanyike baada ya kuwa tayari ana A to Z ya nini anafanya mtoto wake.

Nina amini tunapaswa kujua na kuwalinda watoto wetu kwa kadri iwezekanavyo.
Isije mwisho akajiondoa duniani kwa kukosa msaada kwani hana mkopo?!
Support na msaada kwa mtoto wake inapaswa kuendelea kama kawaida.
 
mspy naipataje kiongozi? Halafu nimeona kama wanasema inatumika kwenye IPhone pekee. Je ni kweli?
- Mnunulie simu mpya, ( au kama una access na hiyo simu yake basi waweza itumia)
- Ila kabla ya kumkabidhi hiyo simu mpya muwekee mSpy app, { ilipie japo mwezi mmoja tu, ili upate premium features}
- Hapo utapata taarifa zake zote: WhatsApp, Snapchat, Facebook, Calls, SMS, GPS tracking etl

Hili lifanyike baada ya kuwa tayari ana A to Z ya nini anafanya mtoto wake.

Nina amini tunapaswa kujua na kuwalinda watoto wetu kwa kadri iwezekanavyo.

Support na msaada kwa mtoto wake inapaswa kuendelea kama kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwenye IPhone pekee.
Hapana
Inatumika pia kwenye android, sio ios pekee
1578019496580.png
 
Mnunulie simu ukiweza karibu nikuwekee app kiboko yao utamlinda na unaweza kuunganisha familia nzima na kuifatilia kupitia app hii..
Screenshot_20200103-053148.jpeg
Screenshot_20200103-053155.jpeg
Screenshot_20200103-053159.jpeg
Screenshot_20200103-053205.jpeg
Screenshot_20200103-053211.jpeg
Screenshot_20200103-053220.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vitu vingine ni easy haina haja ya kulipia sikia download windows spy programs mfano spynote 6 kama una pc na kama haujui linux

Tengeneza malicious application kisha nenda playstore download suremdm app (mobile management) kwenye aimu ya huyo mwanao

Jisajili na suremdm online kisha nenda kwenye application ya suremdm kwenye simu ya mwanao ingiza acc id na pass

Kisha install na app ya spynote kwneye hio simu

Then mpe simu yake

Kwenye simu yako nenda online suremdm ingia na logs zako kisha nenda boot on start ichague suremdm app alna spynote app

So hapo kila akiboot simu on ...zile app zitarun na utapata connection nayo for a life time freeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom